David Kafulila: Tume inataka kunihujumu Kigoma Kusini

David Kafulila: Tume inataka kunihujumu Kigoma Kusini

Bado kafulila hajatangazwa tu jamani?
 
Tatizo la Zitto ni kutawaliwa na umimi na ndio kitu kitakachokuja kumwangamiza muda si mrefu.

mkuu kumbe zitto amekuwa mkurungenzi wa halmashauri kumbe, nilikuwa sijui!
 
Huo ndio ukweli. Ni mbinafai sana huyu dogo.
Zitto amebobea kwenye siasa za HURUMA! Akiwa Chadema alikuwa analia lia kuonewa na ilimsaidia sana kisiasa na kumfanya maarufu.

Sasa hivi yeye ndio anayeibeba ACT, "He cant chuck toys out of the pram anymore" huu ndio mwanzo wa mwisho wake.
 
Hakuna kukubali yarudiwe hizo ni njama ambazo zilitaka kujitokeza mahali kwingi ikiwemo Bunda, Musoma, Kakonko n.k zaidi unatakiwa kuita wananchi wako ili wakusaidie kwa kutumia nguvu ya umma
 
Back
Top Bottom