David Kafulila: Rais Samia anajenga 'competitive economy'

KAFULILA: TUKISOMA RIPOTI ZA KIMATAIFA- MOODY'S YATHIBITISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ANAJENGA UCHUMI SHINDANI NA SIASA IMARA UKILINGANISHA NA NCHI ZOTEZILIZO NDANI NA NJE YA AFRICA MASHARIKI.

Mhe Kafulila anasema, Duniani kuna taasisi 72 za kupima afya ya chumi za Mataifa na Makampuni mbalimbali duniani ( Global Credit Rating Agency).

Kati ya taasisi hizo 72, Taasisi ya MOODY'S inaongoza duniani ikiwa inamiliki aslimia 45% ya biashara hii.

Oktoba 7, 2022 kwa mara nyingine, imeipandisha daraja Tanzania kama alivyopost ripoti hiyo,Mchambuzi David Kafulila kwenye ukurasa wake wa tweeter chini hapa.

"Mama ameikusanya nchi pamoja kisiasa."

Kafulila anasema "Mama anajenga serikali sikivu, Mama anajenga uchumi shindani, Mama anafungua nchi... hakika Mama anaupiga Mwingi"..

Kwa yule ambae hawezi kusoma repoti yote aliyoambatisha Kafulila kwenye ukurasa wake,
Anayeweza kusoma attachment tu kwenye tweeter yake uone taasisi yenye heshima duniani kwa sayansi ya kupima afya ya uchumi inasema ,"We argue with facts"

Kwanyongeza tu si kwa nchi za Jumuiya ya EAC pekee lakini pia Rais Samia Suluhu kawazidi wanaume wa Ghana, Namibia, Msumbiji, nk..
MASIKINI KAFULILA UCHAWA MPAKA LINI MKUU?UVCCM WAPO WA KUMWAGA KWENYE CHAMA CHAO TAFUTA KAZI NYINGINE ACHANA NA UCHAWA
 
KAFULILA: TUKISOMA RIPOTI ZA KIMATAIFA- MOODY'S YATHIBITISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ANAJENGA UCHUMI SHINDANI NA SIASA IMARA UKILINGANISHA NA NCHI ZOTEZILIZO NDANI NA NJE YA AFRICA MASHARIKI.

Mhe Kafulila anasema, Duniani kuna taasisi 72 za kupima afya ya chumi za Mataifa na Makampuni mbalimbali duniani ( Global Credit Rating Agency).

Kati ya taasisi hizo 72, Taasisi ya MOODY'S inaongoza duniani ikiwa inamiliki aslimia 45% ya biashara hii.

Oktoba 7, 2022 kwa mara nyingine, imeipandisha daraja Tanzania kama alivyopost ripoti hiyo,Mchambuzi David Kafulila kwenye ukurasa wake wa tweeter chini hapa.

"Mama ameikusanya nchi pamoja kisiasa."

Kafulila anasema "Mama anajenga serikali sikivu, Mama anajenga uchumi shindani, Mama anafungua nchi... hakika Mama anaupiga Mwingi"..

Kwa yule ambae hawezi kusoma repoti yote aliyoambatisha Kafulila kwenye ukurasa wake,
Anayeweza kusoma attachment tu kwenye tweeter yake uone taasisi yenye heshima duniani kwa sayansi ya kupima afya ya uchumi inasema ,"We argue with facts"

Kwanyongeza tu si kwa nchi za Jumuiya ya EAC pekee lakini pia Rais Samia Suluhu kawazidi wanaume wa Ghana, Namibia, Msumbiji, nk..
Ushamwagwa huna lolote msaliti wewe
 
Hawa Wanasiasa wetu wa ajabu sana. Yaani huyu na usomi wake wote amekuja kuwa mpuuzi HV?
 
Kafulila ni rafiki yangu sana, huwa napiga naye stori, ni rafiki yangu wa tangu utotoni. Kiuhalisia huwa anamponda sana mama, ila akija mtandaoni anafanya kinyume.
 
Hao siyo Moods, labda watakuwa ni UVCCM.

Yaani hawajaiona Kenya???
Acha u
640px-Common_wildebeest.jpg
 
Umekariri wapi hizo notes mkuu inaonekana nikirudi school nitatoboa nisaidie
 
Vile uchumi shindani unajengwa👇🐒🐒🐒
 
Back
Top Bottom