David Kafulila: Rais Samia anajenga 'competitive economy'

David Kafulila: Rais Samia anajenga 'competitive economy'

Hizi njaa hizi,kafulila ni WA kusifia ccm?Bro we ni kama big G,umeishautamu,sasa hv umeishatupwa,kuendelea kusifia kinywa Cha ccm kilichokutafuna na kukumaliza utamu,ni uzwazwa tu,
 
Sasa bro mamilioni yote ya ubunge,si ujiajiri tu,fungua kampuni!!maana ulipokuwa mjengoni,ndio hivyo mlivyokuwa mnashauri vijana wakitoka vyuoni wafanye!!sasa wewe umeishashika mamilioni,jipe ajira
 
Sasa bro mamilioni yote ya ubunge,si ujiajiri tu,fungua kampuni!!maana ulipokuwa mjengoni,ndio hivyo mlivyokuwa mnashauri vijana wakitoka vyuoni wafanye!!sasa wewe umeishashika mamilioni,jipe ajira
Unahangaika Sana, jenga hoja
 
KAFULILA: TUKISOMA RIPOTI ZA KIMATAIFA- MOODY'S YATHIBITISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ANAJENGA UCHUMI SHINDANI NA SIASA IMARA UKILINGANISHA NA NCHI ZOTEZILIZO NDANI NA NJE YA AFRICA MASHARIKI.

Mhe Kafulila anasema, Duniani kuna taasisi 72 za kupima afya ya chumi za Mataifa na Makampuni mbalimbali duniani ( Global Credit Rating Agency).

Kati ya taasisi hizo 72, Taasisi ya MOODY'S inaongoza duniani ikiwa inamiliki aslimia 45% ya biashara hii.

Oktoba 7, 2022 kwa mara nyingine, imeipandisha daraja Tanzania kama alivyopost ripoti hiyo,Mchambuzi David Kafulila kwenye ukurasa wake wa tweeter chini hapa.



"Mama ameikusanya nchi pamoja kisiasa."

Kafulila anasema "Mama anajenga serikali sikivu, Mama anajenga uchumi shindani, Mama anafungua nchi... hakika Mama anaupiga Mwingi"..

Kwa yule ambae hawezi kusoma repoti yote aliyoambatisha Kafulila kwenye ukurasa wake,
Anayeweza kusoma attachment tu kwenye tweeter yake uone taasisi yenye heshima duniani kwa sayansi ya kupima afya ya uchumi inasema ,"We argue with facts"

Kwanyongeza tu si kwa nchi za Jumuiya ya EAC pekee lakini pia Rais Samia Suluhu kawazidi wanaume wa Ghana, Namibia, Msumbiji, nk..
Wewe Kafulila zama zako zimeisha. Wewe kaa kwa kutulia. Hata usifie mpaka upasuke haitasaidia kitu
 
Back
Top Bottom