David Kafulila,na Serikali Tatu

Hata huyo mkoloni utampinga vipi akija kuongea na wewe iwapo lugha gongana, wao wanaivunja mipaka yao sasa taratibu na hapa kama uoni nachofanya ni kupinga mipaka aliyoiweka mkoloni na ambayo tayari imefutwa hila kuna watumwa bado, among us.
 
Kumbe unajua neno Tanzania ni la kubumba bumba tu, mzazi wa Tanzania ni Tanganyika usidharau asili yako.
 
Kwa kweli sikujua kama Kijana huyu ana mambo makubwa, mazuri, na point zenye hatima ya Taifa hili kiasi hicho. Nilitamani apewe muda wa ziada ili amalize na kazi iishe kwani haya ndiyo mambo muhimu tunayotaka hasa unapoongea kuhusu nchi yetu ya ahadi Tanganyika. Bravooo Mh. Kafulila.
 
ma prof wengi tanzania ni walafi wa pesa....hawana tathmini wa wanachokiongea
 
Ulisha aminishwa hivyo. Subiri muda ukifika mtatafuta pa kwenda.
Nawakilisha wakuu.
 
Mungu mbariki Kafulila, ibariki Tanganyika, ibariki Zanzibar, ibariki Tanzania, mbariki Warioba na tume yke!
Mungu wabariki Watanzania
 
Kumbe unajua neno Tanzania ni la kubumba bumba tu, mzazi wa Tanzania ni Tanganyika usidharau asili yako.
Nimezaliwa ndani ya Tanzania ndio asili yangu, Tanganyika naijuia kwa historia ambayo sio nzuri ya mzungu kuchinja watu, kutupeleka vitani bila ya ridhaa, kutawalia kutoka UK the word bears the connotions of colonial bearings and all its evils.
 
wakuu mbona leo kuna kundi fulani halichangii kulikon?
 
wakuu mbona leo kuna kundi fulani halichangii kulikon?

Nadhani bado wanapokea maelekezo na naamini wakirudi hapa watu wengi watakula ban maana hivi vijamaa vina mbinu za kichokozi sana. Utaniambia kabla ya saa kumi na mbili jioni.
 
wakuu mbona leo kuna kundi fulani halichangii kulikon?
Habari nilizonazo Lumumba haijatoa fungu kwenye suala la katiba wewe anzisha thread ya Slaa na Chadema utawaona wanavyopishana kujibu wenyewe kwa wenyewe.
 
Mr. Kafulila vs Prof. Shivji

Naomba tufanye rating ya hao, maximum point ni 10

"Kwa nondo za dogo kafurila leo wala huwez ukamlinganisha na maprofesa uchwara(Maprofesa wachumia tumbo) wa tanzania.NA DOGO NDIYOOO KWANZA KAANZA MASTERS UD,What can you expect dogo akishauvaa uprofesa?"LONG LIVE KAFURILA
 
Nadhani wabunge wa upinzani hawana budi kuiga hii style ya Kafulila, kupayuka sana hakusaidii, nimependa alivyokuwa ametulia na kujiamini.
 
Nimezaliwa ndani ya Tanzania ndio asili yangu, Tanganyika naijuia kwa historia ambayo sio nzuri ya mzungu kuchinja watu, kutupeleka vitani bila ya ridhaa, kutawalia kutoka UK the word bears the connotions of colonial bearings and all its evils.

Mungu ibariki Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…