David Kafulila,na Serikali Tatu

Na wewe umemalizia kabisa, Duhhh.
 
Yaani, Yaani, Yaani Nondo tupu. Kijana mtanganyika huyu. Mungu ambariki.
 
Basi ni vyema kwa ipo cku tanganyika itarudi tu
 
Hi mdau jamaa kanisababisha hata sijanywa kitu jamaa kapiga ikulu nice presentation maccm wamezimika gafula ,hawana hoja wa data zozote za why note serikali tatu...nawasilisha
 
Niliziona sura za Prof Muhongo, Wassira na Mwakyembe zikiwa zimetahayari jinsi kijana alivyokuwa akitiririka hoja zake bila jazba wala kusoma popote. Ina maana alikuwa anasema kitu anachokiamini. Hoja zilikuwa zimesimama hata hivyo vidampa wa CCM wasiojua chochote zaidi ya kufuata maagizo waliyopewa wakawa wakati mwingine wanaanza kuzomea. Ila kwa jinsi walivyoona sura za viongozi wao nao wakanywea.
Ushauri wangu kwa hao wachache watakaotoa maoni kwa kamati zilizobaki waondoe jazba na kuzungumza kwa utulivu ndio njia sahihi ya ku win hadhira na kuwanyima maccm nafasi ya kuchafua mjadala kwa kuomba miongozo na taarifa.


Sent from my iPad using JamiiForums
 

Hongera kwa mr Kafurira; I was moved by his arguments
sio kama hawa wanao tetea serikali mbili bila hoja
 
Sikutegemea jinsi dogo alivyoeleza mambo. Hoja baada ya nyingine bila kelele bila jaziba wala woga. mfano wa kuigwa na wajumbe wote wa katika hasa kundi la 201. Thanks kafulila you have made my day.
 
Nimemkubali mh.ni jembe
wanafiki na wenye akili za kuazima wanaumbuka
 
Namsubiri mchungaji Mtikila kwa hamu sana.
 
The guy is very concistence and smart.nimempenda sana.

Kafulila wewe nimiongoni mwa vijana wachache wanaojitambua. kuna watu wanaojifanya wanajua huku wakiwa hakui kama hawajui. mfano wabunge wote wabala kimsingi niwatanganyika lakini leo wanaukana utanganyika huu niusaliti tunaitaka tanganyika yetu
 
Muanzisha uzi at least ungeelezea alicho eleza kafulila sio wote tumefuatilia
 
Ndio walichobakiza tena wapinzani hawana lengine, kelele za serikali tatu tu kwa sasa.

Kila wakitia maguu vijijini na hadithi za ufisadi wanakuta wanaulizwa fine tunajua hupo lakini maji vipi? soko la mazao liko wapi? miundombinu hipo wapi? na mtatusaidia vipi?. Wanauma uma majibu hawana sera hawana, zaidi ya kutukana jitihada zinazo onekana.

Sasa wanakimbilia serikali tatu kwa sababu ni popular stand ndani ya JF, wasubiri uchaguzi ujao yetu macho badala ya kuwa concerned na what really their local constituents want wao unafiki tu kama kiongozi alietoa mapendekezo ya serikali tatu.

Huyo Sharif Hamad kapewa tamko moja tu tayari anaweweseka, wapemba watabaki bara, asubiri aone watavyopanga mstari uhamiaji kuomba visa, mnajianzia tu serikari tatu.
 
Tunaomba pls aliyerekodi hata kama ni audio atuwekee hapa ili nasi tuliokuwa mashambani na migodini nyakati hizo tuweze kusikia alichokisema mpendwa wetu David Kafulila!

Mkuu bahati mbaya sikulipata hilo wazo. Waliofanya hivyo wataweka mkuu usijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…