Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,401
We Ben mimi si kiongozi wa hicho chama unanifananisha na viongozi, nimesikia newz magazetini nami nawasilisha kama ilivyo.Mkuu unajua wewe ni uko kwenye kitengo cha uenezi cha vijana hebu andika vizuriNiliwaonya MASALIA mapema kuwa huyu jamaa anaanzisha CHAUMMA huku yeye anaomba msamaha kichinichini huko NCCR-Mageuzi.Baada ya kulipua lile dili la CHAUMMA jamaa aliamua kurudi fasta NCCR-Mageuzi.Kuna siku niliwaambia wana-JF hapa CHAUMMA hawatafanikiwa malengo yao hata iweje.Nia zao chafu za kuivuruga CHADEMA zitawamaliza wao.Na baada ya hapo walainza kumalizana kuanzia upande wa Zanzibar na kanda ya ziwaHii case ya kuunda CHAUMMA huku ukiomba msamaha kwenye chama kingine ni unafiki wa vijana wa wanasia Tanzania hii.Anyway,afadhali ameshtuka kwamba yule mzee wa Tunguri na bingwa wa usaliti alitaka kumuharibia maisha.loh!CC: nice2, kixCC:Rais
Mimi sio KISANDU, na mara nyingi sana huwa unanifananisha na huyo dogo, narudia tena mimi siyo.Mkuu unajua wewe ni uko kwenye kitengo cha uenezi cha vijana hebu andika vizuriNiliwaonya MASALIA mapema kuwa huyu jamaa anaanzisha CHAUMMA huku yeye anaomba msamaha kichinichini huko NCCR-Mageuzi.Baada ya kulipua lile dili la CHAUMMA jamaa aliamua kurudi fasta NCCR-Mageuzi.Kuna siku niliwaambia wana-JF hapa CHAUMMA hawatafanikiwa malengo yao hata iweje.Nia zao chafu za kuivuruga CHADEMA zitawamaliza wao.Na baada ya hapo walainza kumalizana kuanzia upande wa Zanzibar na kanda ya ziwaHii case ya kuunda CHAUMMA huku ukiomba msamaha kwenye chama kingine ni unafiki wa vijana wa wanasia Tanzania hii.Anyway,afadhali ameshtuka kwamba yule mzee wa Tunguri na bingwa wa usaliti alitaka kumuharibia maisha.loh!CC: nice2, kixCC:Rais
Halafu wewe sijui unatokea wapi thread iletwe na mwingine wewe ujibu usichokijua.We Ben mimi si kiongozi wa hicho chama unanifananisha na viongozi, nimesikia newz magazetini nami nawasilisha kama ilivyo.
Wanaandaa Ndoa Imara ya Mume aliyebobea katika mitala baada ya kusikia kipenga kimepulizwa na Tendwa!
Ha ha ha ha,Kheh...Kumbe mtoto wa mnyonge= Baba Clara ambaye ni =na.......tena?We Ben mimi si kiongozi wa hicho chama unanifananisha na viongozi, nimesikia newz magazetini nami nawasilisha kama ilivyo.
Na wewe sijakutaja kwamba ni kisandu,maana inawezekana akawa ni pacha yako au ndugu yako wa karibu maana hata akiwa CHADEMA uchaguzi wa BAVICHA ulikua ukileta matamko yake hapa JF na kujibu hoja za wachangiaji.Hata allipohamia NCCR-Mageuzi ulihama nae kama inavyoshuhudiwa hata hapa kwenye Thread.Okay,Baba Clara si Kisandu ila kuna mashaka ni pacha wake.Roll it on...Mimi sio KISANDU, na mara nyingi sana huwa unanifananisha na huyo dogo, narudia tena mimi siyo.
Unamjibu hivyo ili kupotezxa malengo baada ya kujua umejichangnya?Halafu wewe sijui unatokea wapi thread iletwe na mwingine wewe ujibu usichokijua.
Nikile chenye mlengo wa kichaga?Chama cha upinzani kipo kimoja tu!!! Ukifukuzwa hata uombe msamaha hurudi. Shoza na Yule mwizi wa simu wanakijua hicho chama
CHADEMA ndiyo CCM A.
Chama cha upinzani kipo kimoja tu!!! Ukifukuzwa hata uombe msamaha hurudi. Shoza na Yule mwizi wa simu wanakijua hicho chama
Ni pigo kwa Chadema.
hata kwa akili ya kawaida tuu ccm na chadema wapi na wapi?chadema ndiyo ccm a.
Nikile chenye mlengo wa kichaga?
CHADEMA ndiyo CCM A.
CDM wanalo la kujifunza hapo
Chama cha upinzani kipo kimoja tu!!! Ukifukuzwa hata uombe msamaha hurudi. Shoza na Yule mwizi wa simu wanakijua hicho chama
Acha ujinga ben. Hebu usipotoshe ukweli.Ha ha ha ha,Kheh...Kumbe mtoto wa mnyonge= Baba Clara ambaye ni =na.......tena?Mimi nilimjibu Baba Clara na nimem-quote,iweje ujitete wewe?Ulisahau umeingia kwa ID nyingine mkuu?Duh nimecheka sana,hivi ni vitukoNa wewe sijakutaja kwamba ni kisandu,maana inawezekana akawa ni pacha yako au ndugu yako wa karibu maana hata akiwa CHADEMA uchaguzi wa BAVICHA ulikua ukileta matamko yake hapa JF na kujibu hoja za wachangiaji.Hata allipohamia NCCR-Mageuzi ulihama nae kama inavyoshuhudiwa hata hapa kwenye Thread.Okay,Baba Clara si Kisandu ila kuna mashaka ni pacha wake.Roll it on...Unamjibu hivyo ili kupotezxa malengo baada ya kujua umejichangnya?Kwamba mtoto wa mnyonge = (Baba clara=.........!
bora wao wamefahamu maana na umuhimu wa dhana ya msamaha
aisee!Acha ujinga ben. Hebu usipotoshe ukweli.