David Kafulila asamehewa NCCR-mageuzi

David Kafulila asamehewa NCCR-mageuzi

Baba Clara

Member
Joined
May 10, 2011
Posts
94
Reaction score
27
Nimesikia katika uchambuzi wa magazeti ya leo startv kuwa Katibu Mkuu wa chama cha NCCR-mageuzi Samwel Ruhuza wamemsamehe Mbunge david Kafulila ili kuimarisha chama na kuepuka jimbo kupotea.

Chanzo: Magazeti ya leo asubuhi (Star tv)

attachment.php
attachment.php
attachment.php

attachment.php
 
Kwani wakati wanamfukuza walijua wanaimarisha chama? Kama kuna msamaha wa kweli bila shaka Kafulila ataiondoa kesi mahakamani.
 
Wanaandaa Ndoa Imara ya Mume aliyebobea katika mitala baada ya kusikia kipenga kimepulizwa na Tendwa!
 
Kwani wakati wanamfukuza walijua wanaimarisha chama? Kama kuna msamaha wa kweli bila shaka Kafulila ataiondoa kesi mahakamani.
Kila binadamu anamapungufu yake, Kafulila kasamehewa baada ya kukiri makosa yake, Mungu amuongoze katika safari yake mpya.
 
Wanaandaa Ndoa Imara ya Mume aliyebobea katika mitala baada ya kusikia kipenga kimepulizwa na Tendwa!
Ndiyo maana wapinzani hatufiki mbali hatupendi kuona wenzetu wamefanya kitu kizuri si tunaponda tu, kama ni ndoa basi ni ndoa na Wananchi ili kutimiza malengo ya watz.
 
Nimesikia katika uchambuzi wa magazeti ya leo startv kuwa Katibu Mkuu wa chama cha NCCR-mageuzi Samwel Ruhuza wamemsamehe Mbunge david Kafulila ili kuimarisha chama na kuepuka jimbo kupotea.

It is a good move and political maturity
 
Nimesikia katika uchambuzi wa magazeti ya leo startv kuwa Katibu Mkuu wa chama cha NCCR-mageuzi Samwel Ruhuza wamemsamehe Mbunge david Kafulila ili kuimarisha chama na kuepuka jimbo kupotea.Chanzo: Magazeti ya leo asubuhi (Star tv)
Kazi imeanza yaani ninyi ni zaidi ya CHADEMA.
 
Jembe lime rudi tena shambani kuhakikisha hakuoti mmea uitwao CDM. Ongera NCCR hiyo ndio siasa. Musiwaige magaidi wao kila siku ni majungu tu hasa kwamtu mwenye kukubalika zaidi ya viongozi wao wajuu.
 
Kila binadamu anamapungufu yake, Kafulila kasamehewa baada ya kukiri makosa yake, Mungu amuongoze katika safari yake mpya.

Ndiyo maana wapinzani hatufiki mbali hatupendi kuona wenzetu wamefanya kitu kizuri si tunaponda tu, kama ni ndoa basi ni ndoa na Wananchi ili kutimiza malengo ya watz.

Chama chenyewe ni NCCR-mageuzi.

Mkuu unajua wewe ni uko kwenye kitengo cha uenezi cha vijana hebu andika vizuri

Niliwaonya MASALIA mapema kuwa huyu jamaa anaanzisha CHAUMMA huku yeye anaomba msamaha kichinichini huko NCCR-Mageuzi.

Baada ya kulipua lile dili la CHAUMMA jamaa aliamua kurudi fasta NCCR-Mageuzi.Kuna siku niliwaambia wana-JF hapa CHAUMMA hawatafanikiwa malengo yao hata iweje.Nia zao chafu za kuivuruga CHADEMA zitawamaliza wao.Na baada ya hapo walainza kumalizana kuanzia upande wa Zanzibar na kanda ya ziwa

Hii case ya kuunda CHAUMMA huku ukiomba msamaha kwenye chama kingine ni unafiki wa vijana wa wanasia Tanzania hii.

Anyway,afadhali ameshtuka kwamba yule mzee wa Tunguri na bingwa wa usaliti alitaka kumuharibia maisha.loh!

CC: nice2, kix

CC:Rais
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom