David Kafulila akamatwa na Polisi


sikutegemea kama wewe ni juha na kilaza kwa kiwango hiki!
 
Nakumbuka siku moja alijinadi katika chombo fulani cha habari kuwa jimbo lake ni miongoni mwa majimbo yaliyopiga hatua kubwa katika ujenzi wa maabara na kuwa hata Mh.Rais analijua hilo.
Nashangaa kuona anatiwa hatiani kwa mambo ambayo wapiga kura wake wamekwisha kuyatekeleza kwa ukamilifu.
 
Kama Police watafanya kazi kwa kufuata chama cha siasa, mwisho wake itakuwa kama Escrow jinsi ambavyo security system ilikufa wakati wa kuchota pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…