Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 255
Kama habari hii ni kweli (maana Shy hueleweki), hakuna shida huo ni utashi wake.Samahanini jamani, nasikitika kuwataarifu kuwa yule aliyekuwa Ofisa
Habari wa Chadema Kafulila kajivua uanachama leo. Chakujiuliza chama
hiki kinaelekea wapi?
Sasa kwanini unaomba msamaha? Au huna uhakika na habari unayotupa? don't be submissive my friend. Kama ni kweli, hiyo ndio demokrasia, hajafungwa miguu mle Chadema!Samahanini jamani, nasikitika kuwataarifu kuwa yule aliyekuwa Ofisa
Habari wa Chadema Kafulila kajivua uanachama leo. Chakujiuliza chama
hiki kinaelekea wapi?
Huu ni muda muafaka wa kila mtu kukaa upande anaotaka. heri wanachama kumi makini kuliko 100 mashaka mashaka
Kafulila nenda baba, tangulia tu, upinzani unataka watu makini na waadilifu wasio na mawaa, unatia shaka, umekosa uadilifu, hata CCM hawataki watu rahisi kama wewe, upinzani hauna hofu nawe, huwezi kuboboa CHADEMA, huwezi kamwe. wewe ni sisimizi tu.Samahanini jamani, nasikitika kuwataarifu kuwa yule aliyekuwa Ofisa
Habari wa Chadema Kafulila kajivua uanachama leo. Chakujiuliza chama
hiki kinaelekea wapi?
Mtakie safari njema, siyo mateke na magumi!! Dunia duara, bado ni kijana Taifa linamuhitaji. Jisahihishe kama ulikosea na pia Muombe Mungu atakusaidia mbeleni.haya Nenda kachukue kadi yako ya zamani na usije tena Shuwaini!!! mtu mzima atishiwi nyau. kafie mbele.
Bado nashindwa kumjadili Kafulila kwa habari iliyoanzia kwa Shy, kama kuna mtu mwingine wa kututhibitishia habari hii itakuwa jambo la kheri.Mtakie safari njema, siyo mateke na magumi!! Dunia duara, bado ni kijana Taifa linamuhitaji. Jisahihishe kama ulikosea na pia Muombe Mungu atakusaidia mbeleni.
Huu ni muda muafaka wa kila mtu kukaa upande anaotaka. heri wanachama kumi makini kuliko 100 mashaka mashaka
Mtakie safari njema, siyo mateke na magumi!! Dunia duara, bado ni kijana Taifa linamuhitaji. Jisahihishe kama ulikosea na pia Muombe Mungu atakusaidia mbeleni.
Hivi huyu bwana kosa lililomfanya mpaka avuliwe wadhifa wake lilikuwa nini? Tusije tukamhukumu bila kujua kisa hasa ni nini. Isije kuwa alionewa ki kweli na kusababisha yeye kufikia hatua hii.