David kafulila aibeba chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

David kafulila aibeba chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gwota, Feb 6, 2012.

 1. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wote tunakumbuka vuguvugu la kafulila kutaka kumuangusha mbatia kwa vigezo vyake vya msingi ikiwemo kesi ya Mdee,
  Pamoja na kwamba CHADEMA ni wajanja na wametumia upenyo huo kujipenyeza na kuwarubuni NCCR kufuta kesihii, CHADEMA wamejifanya wanasaini makubaliano feki ili mradi tu malengo yao yatimia, Ni nani asiyejua makubaliano hayo hayawezi kudumu? ni ni nani asiyeamini mbatia kuwatupa ccm hawezi na chadema hawawezi ku-entertain upuuzi huo? ama kweli chadema ni zaidi ya uijuavyo, sio siri msukumo wa kafulila hauwezi kuacha kudhaminiwa ktk hili.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ujeyaona hayo makubaliano?
  Umeyasoma?
  Una uhakika gani kama ni feki wakati hata utekelezaji bado?
   
 3. L

  Liame Senior Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  CDM ipo kutoa elimu ambayo watanzania tuliikosa kitambo na pale watu wanapopata kuijua kweli uhungama kwa yale yote wamewakwaza watanzania...naomba kuthibitisha hili,CDM ilitoa elimu kuhusu umuhima wa kuwa na katiba mpya kwa ufanisi mkubwa Jk akaikubari kweli na ndio maana uwamuzi wake haumo ktk ilani ya uchaguzi wa chama cha magamba,CDM walipinga kuburusha na CCM katika mchakato wa katiba wakabezwa na watanzania wa kada zote,leo mawazo yao yamekuwa lulu ambayo yanaelekea kukigawa chama cha magamba...pana usemi usemao"if u can't defite them join with them" MBATIA NI MSOMI AMBAYE ALIKUWA AMEKENGEUKA KWA CHEAP POPULALITY NA SASA AMAIJUA KWELI NA ANATAFUTA TOBA YA KWELI SO 4 ME I DONT SUPLISED AKIKUBALIANA NA CDM YALE AMBAYO ALIKUWA AMEMEZESWA KWA MASLAI TUMBO...BIG UP CDM KUMBADILI JK MPAKA KUKOSANA NA WENZAKE MAGAMBA,KUMLETA KUNDINI MBATIA
   
 4. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Imejaa ushabiki badala ya Logic, Too bias
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  mbona mimi najua! mbona mimi naamini!
   
 6. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,183
  Likes Received: 1,184
  Trophy Points: 280
  Huyu kafulila ana mgongo mpana kiasi gani?
   
 7. U

  UhuruK New Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  so time we need to be openminded when posting!!!!!!!!!! sasa uheleweki
   
 8. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tulijua lazima magamba wataongea sana tena kwa ushahidi bubu wa kubuni ilimradi tu kuitia dosari hatua ya kipekee waliofikia cdm na nssr. Mbatia kapima mkondo wa maji kaona magamba wanazama bora aogelee kwa mgongo wa cdm
   
 9. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,819
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Haikuwa logic katika mazingira ya vyama vichanga vya upinzani Tanzania kwa NCCR kukata rufaa kupinga kiti kilichobebwa na Chadema. Mbatia kidogo aliyumba katika hili, especialy given the fact that sera ya sasa ni kupeleka wanawake wengi bungeni kupitia majimbo. Ushindi wa Mdee ungebatilishwa tu, CCM wangelichukua jimbo la kawe kiurahisi sana.Ni muhimu kuacha upinzani ukomae ili CCM iwe makini zaidi.
   
Loading...