David cameroun na natural human right! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

David cameroun na natural human right!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wakupita, Nov 25, 2011.

 1. w

  wakupita Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Inasikitisha kuona watanzania wakipinga haki za binadamu wenzao kuishi na kuwa na natural right ya kufurahi na kuhusiana na jamii nzima

  Sio kweli kwamba mashoga wote wamejitakia kuna baadhi

  Ambao wamezaliwa lakini katika hormone distribution hormone za kike zimezidi hormone za kiume
  Wapo waliobakwa na kufanyiwa vitendo hivo vya ukatili wakiwa watoto kw muda mrefu hence wanashindwa kubadilika

  Sio kwamba natetea mashoga but guys they had a natural human rights za kuishi na kuwa happy

  Kama tunaongelea morality how morals are we in our daily life?
   
Loading...