LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 253
kuwa na nidham kwa wanaume hasa mashujaa wa dunia.
View attachment 54224
matusi hayatasaidia mkuu!ubingwa ushachukuliwa!
Kumbe chelsea ni ma-cameroon? Ndio maana drogba amekaa ki-bofloboflo.
Wala si photoshop, ni picha ya Xinhua, sema huyu aliyeiweka amei-crop tuPhotoshop, ni photoshop!!!
Photoshop, ni photoshop!!!
hutaki kuamini au?si photoshop,nao pia wanapenda mpiraSiyo photo point hiyoooo!!!??

Naona baada ya timu ya taifa ya wengi wenu 'ManU' kukosa hata kijiko msimu huu, basi naona na heshima nayo inapungua na kuwa kama ya mkia wa mbuzi sio? Chelsii wana ndoo mbili, nafanya matezo weye sio!!
Unamatatizo wewe. Huyo ni mkuu wa nchi ambayo kila kukicha rahisi wako hakosi kwenda kuomba misaada!
Naona baada ya timu ya taifa ya wengi wenu 'ManU' kukosa hata kijiko msimu huu, basi naona na heshima nayo inapungua na kuwa kama ya mkia wa mbuzi sio? Chelsii wana ndoo mbili, nafanya matezo weye sio!!
Huyo dogo hana heshima, si mstaarabu! Achana nae!