MFANYABIASHARA KIJANA DAUDI KANYAU AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!! HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA TUNAPOPATA MAFANIKIO KUJARIBU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTOA SADAKA
Tulianza kwa kutembezwa, hii ni sehemu ya watoto yatima watakaolelewa hap, idadi yake ni 40 tu!!
Hii ni nyumba ya Daudi....!!
Hii ni servant quarter
Parking ya magari
Nyumba ya bi mkubwa, mama yake Daudi
kwa nje
ukuta embu ona kwa karibu!!!
Nilipenda sana kichuguu eeh!!
huu ndio msikiti....!!
Kisima kwa ajili ya kutawadha!!!
Nyumba ya Imamu wa msikiti!!
Daudi akiwahudumia wageni!!!
Faiza. Daudi, Phares & Tanisa
Dad's Daughter
Daudi na watoto wake wapenzi!!!, awali awali hakuna mbovu!!!