Daud Balali as Osama bin Laden

wanatamani

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
415
144
jamani hemu tuacheni utani utani. Hivi mshikaji kweli kafa aundio anakula kuku marekani kafanyiwa mask sajin na bongo anakuja kama kawa.
Si mwengine bali ni aliyekuwa gavana wa benk kuu baada ya kuiba mipesa akafariki angalia nakala ya picha ninayo iwaza na barua halisi aliyo mtumia presdar
KIKWETEBALALI.jpg barua org.gif
 
Back
Top Bottom