NDG ZANGU! Hebu 2angalieni hili. OSAMA BIN LADEN v/s BALALI haiji?

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
WanaJF! Kifo cha huyo Gaidi haina na ile kifo (Kimvuli) ya yule Gavana (Mfu) yenye wasiwasi mpaka leo kwangu na kwa baadhi ya Ndg zangu wenye uchungu na nchi yao yenye kila sbb ya wa2 wao kutokuteseka lakini wanateswa na kikosa cha huyu Gavana anayesadikiwa ameweka makazi kwenye nchi ya mataifa makubwa. Je? Hii ya Bin Laden haifanani na ya Balali hapa KWETU? Twendeni pamoja.
 
Back
Top Bottom