Dating

Karucee alikuwa amepotea ghfla sasa ndo karudi tumemuuliza alikokuwepo wapi mpk sasa hana jibu lakini kinachoshangaza sana kwanini kipindi ambacho yeye kpotea tu ghfala na Tized nae kapotea ghafla?

Au labda walitoka njia kuu wakawa wanatumia njia ya uchoroni!!!!!!!!!Lol
 
Last edited by a moderator:
ndo maana nakupendaga mpaka basi. Mwaah
azawaissssss recipe will make a good lunch for "hungry" inmates!!!!!

Afu wewe leo umeniacha hoiii

hahahahah, lols
Maswahibu ya dunia kaka ila tarifa anazo kaka Mr Rocky

hata wewe una ni doubt la aziz wangu
It is for you to clear the shyt and others to acknowledge!!!!

Huyu bwana anajua ana ishu gani za pembeni. manina
Mkuu Ntuzu utafikiri OLESAIDIMU atasema alikuwa wapi hapo andika maumivu aise

hahahaha lol
Nimeokota kipeperushi kinasema hivi
Cc miss neddy

afu na wewe bwanaaa
Sasa mkuu OLESAIDIMU ulikuja kutembelewa ghafla na Karucee nini mbona mmerejea wote jamvini

huu ni upambe
Khe Khe Khe Khe

lols!
Aaaaaanh wapi kama hakuwepo hapa basi ana aje aseme wapi alikuwa!!!!!

hahahaha. lols. Kwani na wewe unatakaje best?
Ivi Kua busy ndio kuawaje ETI ? Huyu miss neddy na YEYE asinichangaye akili yng! Mara utamuona NA Excel Mara Leo nasikia Yuko Na busy na utafiti
 
Oh Lord!!!!!! Ee Mungu baba !!


 

Karucee....how did you respond to Arushaone's "letter"? i wanna know!! whooooa! kaka Arushaone umeuaaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…