Kuna people zinasumbua sana hasa for first time, ukiwaambia mapema utapigwa chenga hadi uchanganyikiwe ndio maana mabaharia wanatumia mbinu za kijeshi walizojifunza kwenye art of the war za kumu attack enemy kwa kumshtukiza kama kuchomoa betri.Ahaha ukakosa plan B ikabidi tuu iwe hivyo hivyo ,sema sometimes nyie mkiambiwa leo kuna tukio inakuwa wadogo na mnaanza kuchenga. Mfano huyo mtu wako angekuambia mapema, je ungeitikia wito?.
Hujamaliza kusimulia..Ikawaje?[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka maana na mimi enzi za ujana nilishawahi kufanya hivi, ila yule hakuniambia tunaenda wapi nilishtukia tu tumefika eneo la tukio
Endelea.....[emoji23][emoji23][emoji23] hamna kuna wakati hata sisi tunakuwa na hamu[emoji87][emoji87]
Una uhakika unataka kuisikia hii hadithi?Hujamaliza kusimulia..Ikawaje?
Kabisa..Nina siku nzima hapaUna uhakika unataka kuisikia hii hadithi?
Una uhakika hutakufa nikikusimulia?Kabisa..Nina siku nzima hapa
Aiseee ......badae ilikuwaje? Alionyesha ushirikiano?
Kuna people zinasumbua sana hasa for first time, ukiwaambia mapema utapigwa chenga hadi uchanganyikiwe ndio maana mabaharia wanatumia mbinu za kijeshi walizojifunza kwenye art of the war za kumu attack enemy kwa kumshtukiza kama kuchomoa betri.
Yaani Jinga sana hawa!Hawa mabinti mda mwingine,wanajipa sifa wasizostahiri na kuwaona waume mapoyoyo.
Hapo sasa!! Za nini kwa mfano!!Za nini kwa mfano
Nishasusa !!Kuwa na subira
Usisuse jamaniNishasusa !!
Mbinguni kuna makao mazuri sana..Usijali kuhusu hilo..Una uhakika hutakufa nikikusimulia?
ππππππ DaaaHMbinguni kuna makao mazuri sana..Usijali kuhusu hilo..
Yote ni kujenga mahusiano mkuu na wapo wanaoishia kuwa wanandoa kabisa.Uwa naona wote wanaotumia hizo dating sites ni malaya na mabazazi..
Wanajuaje?Wanajiuza kule....wanaangalia watu wenye mawe ya kutosha