Hahahahahaa Chikundee heheheheheeeI love Chikunde
Hahahahahaa Chikundee heheheheheee
Mmmmhhhhh Chikundeeee hahahahahaa
You love Chikundeeee while you complain about Chikundeeee
Chikundee bothers you... hehehehhee Chikundeeee hahahahahahahhaaaaaaaa
Kasieeee rahaaaaaaaa rahaaaaa
Rahaaaaaaaaaaa
Weeeh Chikundeeee u r loved Chikundee hehehehehee
Your mind is not fair to you........ it lies to you about Kasie for sure it lies and you better punish your mind......but for Chikundee Mmmmhhh Chikundee heheheheheheee may be her Chikundeeee hehehehehe something fierce here. ..... Chikundeeee hahahahahahahahaaaaaaaaa ukimaliza kujiselfie umtumie ..... umesikia Chikundeeee hahahahahhahaaaChikunde and Kasinde love me something fierce...
Inaudhi saa zote... Busy na smart phone...
Kinachoboa zaidi ni mtu kucheka na simu yake
kwa sauti huku wewe hujui kinachomchekesha...
Taaminije? Itabidi tupange siku.Teh nimeacha jamani
hahaha sema tu siku gani nikujeTaaminije? Itabidi tupange siku.
Huwa najitahidi sana niikimbie hii hali,Hili limekuwa swala sugu sana, labda ndo tunachipukia kwenye matumizi ya simu.
Siku hizi unaweza kukuta mmetoka na washkaji kwenda kubadili mawazo huku mnapata drinks, sasa katika hali ya kushangza unakuta kila mtu yuko bize na simu na story zinakata kabisa.
Mimi kiukweli huwa sikai nalo rohoni nawaeleza tu au naaga zangu.
Navyokupenda napata hofu sana, utaniumiza na sipendi nikuchukie..hehe, njoo chumbani tuanze mazoezi.hahaha sema tu siku gani nikuje
Upo wewe bibie!!?Zingine sio smart phone ni full sms mtu anaandika sms bila hata kutazama simu duh...... Hata majumbani kwetu wanajulikana ukitaka kuuliza kitu cha fasta ama unahitaji namba ya fulani wewe tuma sms kwa flani fasta anajibu mpaka tuvidole tumekomaa
Sisi Watu Weusi ni Washamba na Waigaji waigaji tu. Tunatumia teknolojia za watu vibaya kwa kujifanya wajuaji mpaka tunapoteza heshima ya miadi na mazungumzo kusudiwa.Jumapili njema raia.
Sasa bana, neno la leo ni kuhusu miadi ya makutano ya watu wawili walio na raghba ya kuja kuweza kuwa wenza hapo baadaye.
Mkaka na mdada wanawasiliana kwenye simu. Wanapanga muda na sehemu ya kukutana ili waweze kujuana vizuri.
Siku ya siku inafika na kila mmoja wao anajiandaa vile awezavyo. Mara nyingine hao wawili huongozana na rafiki zao huko kwenye miadi. Nadhani wadada ndo hupenda zaidi kufanya hivyo, jambo ambalo mimi huliona ni la kishenzi.
Mimi na wewe ndo tumepanga tukutane. Wewe unaleta gurudumu la tatu la nini? Ni ushenzi tu.
Hata hivyo, hiyo si hoja yangu kwa leo. Nilikuwa nachomekea tu kama Anko Magu.
Basi bana...mnafika sehemu ya mkutano wenu...mnasalimiana. Kama ni vinywaji mnaagiza halafu mnaendelea na yenu.
Cha kustaajabisha sasa....unakuta kila mtu ana simu....iwe ki Tecno (sijui ndo inaandikwa hivyo), Samsung kuukuu, au ki iPhone cha ajabu ajabu ambacho pengineo ni cha bandia.
Baada ya maongezi kidogo unastukia kila mtu kajiinamia na kibyongo chake. Kila mtu kama si anachati kwenye magrupu ya Whatsapp basi yuko sijui Instagram huko au Snapchat.
Unakuta mtu yuko kwenye rundo la magrupu. Hapo alipo kwenye kideti chake lakini huko kwenye magrupu anatongozana na wengine.
Au unakuta mwingine yupo kwenye hicho kideti lakini yupo kwenye magrupu huko anagombana na wenzake.
Ambacho sikielewi sasa...kwa nini watu muende kwenye miadi yenu halafu badala ya kuongea na kujuana vizuri mnaishia kuchati kwenye magrupu ya Whatsapp?
Aah sasa mbona siku zote hizo hujasema? Nikuumize na kuchat sana au?Navyokupenda napata hofu sana, utaniumiza na sipendi nikuchukie..hehe, njoo chumbani tuanze mazoezi.
Jamani...mambo haya kweli yanahitaji macho ya rohoni, eti hapa tu kuchelewa kureply nimeumia sa sipatii picha siku ya tukio nikusemeshe...kimya..mala.."ooh sorry my dear ulikuwa unasemaje kweli..nlikuwa najibu text ya chizi flani"....hahaha...utafurahi.Aah sasa mbona siku zote hizo hujasema? Nikuumize na nini tena?
Nami nakusalimu sana nipo tu MkuuUpo wewe bibie!!?
Tabutupu anakusalimia sana.....
siku tukiweza kuliondoa hili tutakuwa katika usalama na hata dates zetu zitakuwa za kufurahisha na kutia hamu. mimi kuna siku nilimuacha mtu pale HONGERA BAR SINZA KWA UPUUZI HUO