Dates za siku hizi

Wengine wanakurecord unavyo rap mwenyewe hujui unazidisha 'macho yako mazuri' alafu inatupwa kwenye whatsup group.
Kwa kweli ukikutana na addicts wa simu utakoma. Kila dk lazima ashike simu aangalie nani kapost, nini kinajadiliwa kwenye groups.
Kifupi, watu wengi sasa wako addicted na simu, tusiwacheke sana watumia madawa.
 
Halafu hizo simu lazima ziwe na nywila.
 
Hili lishakua tatizo, mie nimelikubali halinipotezei kitu tena....
 
Kwa kweli ukikutana na addicts wa simu utakoma. Kila dk lazima ashike simu aangalie nani kapost, nini kinajadiliwa kwenye groups.
Kifupi, watu wengi sasa wako addicted na simu, tusiwacheke sana watumia madawa.
Mtu ana magroup 10 daadeki bado chats za mtu mmoja mmoja, fesibuku na jf nazo zipo kwenye foleni..... Ha ha ha uwiii nicheke kama mazuri
 
Mtu ana magroup 10 daadeki bado chats za mtu mmoja mmoja, fesibuku na jf nazo zipo kwenye foleni..... Ha ha ha uwiii nicheke kama mazuri
Kwa kweli simu ni tatizo, hatulioni au tunanyamaza coz wengi wetu tayari ni waathirika..lol. 10grps, fb, jf, twitter, bila kusahau huko insta...nasikia insta ni balaaaaaa.
 
Kwa kweli simu ni tatizo, hatulioni au tunanyamaza coz wengi wetu tayari ni waathirika..lol. 10grps, fb, jf, twitter, bila kusahau huko insta...nasikia insta ni balaaaaaa.
Mi nshaboreka hadi nimeacha sasa, nikikaa na mtu naona yupo bize na simu na mie nashika yangu wote tunyamaze make ni ufalah, kuna maana gani kukutana na mtu afu ujikeep bize na simu
 
Hiyo inaitwa multiple tasking bwana, teh teh teeeeeh!!
 
Mungu atupe tu macho ya 'rohoni' ili tuweze kuyaona na yale ya sirini!
 
Wait 'til you've been set up on a blind one, or having to catch a grenade for the team, and that broad's mind is only fenced around discussing people's lives. You will need your phone to keep you from blowing up.
 
Kiukweli ninashindwa kuelewa ikiwa kama ameniomba kweli kweli kukutana nae alafu ninatoka pale anazingua kama hivyo anachati kila ninachojalibu kuongea nae anaishia kunijibu ndio Mara we acha tuu eehee hivyo hivyo #$%&678 huwa ninasepa na kuwaambia unaochat nao ndio ukutane nae usinipotezee muda
 
bora hivyo kuliko kua kwenye mahojiano ya maswali na majibu khaaaa
 
Dah inategemea umetoka na nani, yaan mm sijawahi kutoka na mtu hata nikajibu sms iliyoingia mara nyingi naweka silent coz inaboa wewe fikiri una mtu afu yuko busy na simu as if kainunua leo? yaan sipendi nashukuru sijawai toka na wavulana na hiyo hali haijawai nikuta. Mara nyingi nikiwa na mtu simu ikiita atanambia sory naongea na mtu na baada ya hapo nu ustaarabu. Mimi huwa napokea simu ya mama yangu tu.

Yan kuchart kwenye sehemu nyeti kama hiyo kwa jinsia zote ni kuonesha dharau/ ushamba kwa kweli sipendagi hali hiyo.
 
Inashangaza sana hizi tabia za magurudumu Na magroup
 
Heheheheheee

English-Swahili translation....... Tarehe za Siku Hizi

English - English - translation........ Outings now days

English - Swanglish translation ........ mitoko ya siku hizi.
From Kasie's dic.

Poyeeeee toto juliiiii hehehehehee 🙂🙂🙂

Back to the pool
Kasie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…