Wakuu habarini za usiku,nilikua naomba msaada kidogo,ni sehemu gani kwa hapa dar ni nzuri "for having a date with a woman",neither cheap nor expensive,just middle class and romanting kwa hapa dar ?
Hahaha....yan mkuu hujapata reply hata moja?
Kweli wabongo washenzi sana...kwao date ni kuchukua take-aways na kuzama geto au kumpiga mtu exile ya nguvu.