Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,647
Mzee upo frontline au chai???Hao ni special forces sio hawa wa kawaida! Hawa kawaida wanauliwa kila siku na wagner group kula bakmut!
Kwanza unaelewa maana ya special force kweli?
Mzee upo frontline au chai???Hao ni special forces sio hawa wa kawaida! Hawa kawaida wanauliwa kila siku na wagner group kula bakmut!
Kwanza unaelewa maana ya special force kweli?
Hata kusoma hujui?Hii chai toka juzi wanaipasha.
Mkuu nilikimbia umande skuliHata kusoma hujui?
Sana TU.Hizo nyaraka zilizo vuja vingekuwa za Urusi humu pangekuwa hapakaliki sasa hivi wachambuzi uchwara wangekuwa wamesha jaza page zote za jf kuelezea jinsi Urusi walivyo wazembe.
Wangine wakasema zimevujishwa na USA wenyewe ili kumtisha Urusi,"wanaakili sana Hawa wamarekani"Acha kabisa! Juzi wakaanza kusema zimefojiwa na urusi
Safi sana,Kwa hiyo unakubali urusi anapambana na Marekani plus mataifa mengine 30 pale ukraine?
Tatizo wanajaribu kupingana na ukweliWangine wakasema zimevujishwa na USA wenyewe ili kumtisha Urusi,"wanaakili sana Hawa wamarekani"
Alisikika mchambuzi mbuzi mmoja humu jf
Yani mataifa 30 ya Nato yatoe wanajeshi 50 tu kwenda kuikabiri Urusi? Unaumwa weweEleza kwa mapana yake, hata tungetumia taarifa hizi kama za kweli, bado haibadilishi ukweli. Kwa ujumla wanajeshi wanaosemekana wapo hawafiki 50, ila kila siku tulikuwa tunaambiwa Rusia kaua zaidi ya askari 500 wa nchi za Ulaya.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Issue ya Special force toka USA kuwepo Ukraine sio mara ya kwanza, juzi hapa kuna team nyingine ya Special Force imewasili Kiev kwenye ubarozi wa Marekani.Hao ni special forces sio hawa wa kawaida! Hawa kawaida wanauliwa kila siku na wagner group kula bakmut!
Kwanza unaelewa maana ya special force kweli?
Fwatilia kwanini NATO iliundwa, ukishajua ndio utajua wewe ndiyr unaumwa!Yani mataifa 30 ya Nato yatoe wanajeshi 50 tu kwenda kuikabiri Urusi? Unaumwa wewe
Labda mgonjwa uwe wewe! Lengo la kuundwa kwa Nato yako ambayo yako documentary na mengine hayajawekwa wazi ijapokuwa mwenye akili timamu anajua lengo la NATO ni kumkaniri Russia.Fwatilia kwanini NATO iliundwa, ukishajua ndio utajua wewe ndiyr unaumwa!
Jifunze kutumia akili.Na ww nae uko JF ...'THE HOME OF GREAT THINKER'...na akili hz ujazo wa kisoda...ndio nn sasa umeandika!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app