Data zilizovuja: Majeshi ya WEST yapo Ukraine

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,772
Reaction score
35,771
Tulisema tokea mwanzo Mrusi anapigana na mataifa 30 pale Ukraine.

Ingekua USA anapambana na mataifa 30 wenda taifa lote lingekua limefeli siku nyingi sana!!

Lazima tutoe pongezi kwa Urusi kwa kuweza kuwakabili mataifa 30 ya west kwa muda mmoja!

Link: Ukraine war: Leak shows Western special forces on the ground

Screenshot_20230412_121233.jpg
 
Hii issue watu wengi wanaliangalia sana kwa Jicho la Emotions!
 
Tulisema tokea mwanzo Mrusi anapigana na mataifa 30 pale Ukraine.

Ingekua USA anapambana na mataifa 30 wenda taifa lote lingekua limefeli siku nyingi sana!!

Lazima tutoe pongezi kwa Urusi kwa kuweza kuwakabili mataifa 30 ya west kwa muda mmoja!

Link: Ukraine war: Leak shows Western special forces on the groundView attachment 2585216
Eleza kwa mapana yake, hata tungetumia taarifa hizi kama za kweli, bado haibadilishi ukweli. Kwa ujumla wanajeshi wanaosemekana wapo hawafiki 50, ila kila siku tulikuwa tunaambiwa Rusia kaua zaidi ya askari 500 wa nchi za Ulaya.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Na hao ndo wanatumia Himars na mifumo mingine ndo maana hamjaweza idungua.

Marekani si mjinga akupe mfumo kirahisi rahisi
 
Eleza kwa mapana yake, hata tungetumia taarifa hizi kama za kweli, bado haibadilishi ukweli. Kwa ujumla wanajeshi wanaosemekana wapo hawafiki 50, ila kila siku tulikuwa tunaambiwa Rusia kaua zaidi ya askari 500 wa nchi za Ulaya.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Na ww nae uko JF ...'THE HOME OF GREAT THINKER'...na akili hz ujazo wa kisoda...ndio nn sasa umeandika!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hizo nyaraka zilizo vuja vingekuwa za Urusi humu pangekuwa hapakaliki sasa hivi wachambuzi uchwara wangekuwa wamesha jaza page zote za jf kuelezea jinsi Urusi walivyo wazembe.
Acha kabisa! Juzi wakaanza kusema zimefojiwa na urusi
 
Eleza kwa mapana yake, hata tungetumia taarifa hizi kama za kweli, bado haibadilishi ukweli. Kwa ujumla wanajeshi wanaosemekana wapo hawafiki 50, ila kila siku tulikuwa tunaambiwa Rusia kaua zaidi ya askari 500 wa nchi za Ulaya.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hao ni special forces sio hawa wa kawaida! Hawa kawaida wanauliwa kila siku na wagner group kula bakmut!

Kwanza unaelewa maana ya special force kweli?
 
Back
Top Bottom