Data usage warning!

Data usage warning!

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,002
Reaction score
652
Hivi Leo nimepata hiyo warning kwenye simu yangu wakati nikitumia internet,naomba kujua hii ina maana gani na madhara yake ni nini?
 
Hivi Leo nimepata hiyo warning kwenye simu yangu wakati nikitumia internet,naomba kujua hii ina maana gani na madhara yake ni nini?

Ukienda settings alafu usage unaweza set data limit kama control ya downloaded data kwa simu yako. Unaweza kufanya adjustments au ku disable kabisa
 
Nenda kwenye settings then data usage, Un tick kile kibox inachosema " set mobile data limit" au unaweza set data limit kubwa ambayo una uhakika hutaifikia
 
Back
Top Bottom