Data science career mentor

Data science career mentor

bytecode

New Member
Joined
Aug 24, 2020
Posts
2
Reaction score
1
Wanajamvi habari,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mimi ni IT professional nimeajiriwa taasisi binafsi ninae hitaji kusogea kwenye sayansi ya data kwa yeyote mzoefu alie katika kada hii tafadhali naomba awe mshauri na kiongozi wangu katika mchakato wangu kujifunza sayansi hii ya data. Kwa aliye tayari tafadhali naomba tuwasiliane PM.

Natanguliza shukrani
images.jpeg.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hii career ni mpya kibongo Bongo na mimi nataka nianze kujifunza on my own
 
Udsm coict data lab,wanaifundisha hii
 
Back
Top Bottom