Data Protection act kuwaathiri wanaharakati?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
684
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.

1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa

My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania

EXAMPLE:Data Protection Act 1998

Nadhani ushauri wako umewafikia walengwa.... tusubiri tuone kama utatekelezwa!
 
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.

1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa

My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania

EXAMPLE:Data Protection Act 1998
Sijui nikuite Bibie ama?.. hiyo sheria ya UK haihusiani na kulinda data zenye UFISADI, pengine uelewe kwamba manunuzi ya serikali wao hupitishwa na vikao vya bunge, au Halmashauri na hufanyiwa Auditing na vyombo vya utumishi wa serikali visivyo fungamana na chama tawala. Na ndio maana Blair alikuwa ktk scandal ya BAE na rada, viongozi wengine wamekuwa forced kuachia Uwaizri mkuu kutokana na UWAZI walokuwa nao wenzetu, sisi kila kitu ni siri umeona Buswagi wakiweka mkataba Hotelini London ingekuwa UK... sidhani kama CCM ingepona bila uchaguzi mpya. Kwa hiyo tunatakiwa kuwa na sheria ya UWAZI na sio ku protect data ambazo usiri wake tayari umetuathiri.
 
Dr.slaa kwani anaiba au analetewa?we dr.unajua tafsiri ya kuiba?nahisi ww umetumwa na magamba basi muende hadi facebook mkaifunge na twitter pia
 
Waambie walokutuma wakamshtaki Dr. W. P. Slaa kwa kuiba nyaraka, wakati tukisubiri hiyo the so called "data protection act".
SAWA!!??
 
mhhhh
-Mawaziri waadilifu wapewe sumu na isiruhusiwe kuandikwa; gavana wa benki atangaziwe kifo cha bandia, magezeti yasiandike; wakubwa wachukue wake za watu na kuwatanguliza ughaibuni wakati wa ziara, magazeti yasiandike; wanausalama wajitume kuwatisha mahakimu na majaji kuwa kesi fulani zina maslahi ya kiusalama - na Yes, magazeti yakae kimya. Hiyo ndiyo Protection Act?
-Mi nadhani tunahitaji Whistle brower's protection Act ili madhambi ya serikali yote yaanikwe hadharani.
 
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.

1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa

My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania

EXAMPLE:Data Protection Act 1998

Hv Dr, upo Dunia gani? Hivi tangu hiyo sheria ipitishwe mwaka 1998, ni scadal ngapi binafsi zimekuwa zikiwekwa wazi na magazeti pendwa (sisi tunaita UDAKU) huko UK, na bado hayabanwi na sheria hii. Hebu cheki hata THE SUN la leo. Hii sheria ina mazingira yake ya kutumika na si kama ulivyodadavua
 
Sijui nikuite Bibie ama?.. hiyo sheria ya UK haihusiani na kulinda data zenye UFISADI, pengine uelewe kwamba manunuzi ya serikali wao hupitishwa na vikao vya bunge, au Halmashauri na hufanyiwa Auditing na vyombo vya utumishi wa serikali visivyo fungamana na chama tawala. Na ndio maana Blair alikuwa ktk scandal ya BAE na rada, viongozi wengine wamekuwa forced kuachia Uwaizri mkuu kutokana na UWAZI walokuwa nao wenzetu, sisi kila kitu ni siri umeona Buswagi wakiweka mkataba Hotelini London ingekuwa UK... sidhani kama CCM ingepona bila uchaguzi mpya. Kwa hiyo tunatakiwa kuwa na sheria ya UWAZI na sio ku protect data ambazo usiri wake tayari umetuathiri.

Yaan rasilimali za nchi zinatumika kufaidisha wachache halfu bado huyu Dr. Kipenge anapendekeza suala la usiri kwenye hiyo mikataba ya kidhalimu! Tena ilindwe na sheria (sijui ile ya usalama wa Taifa na ya Magazeti wameshindwa kuiztumia!. Yaan mpaka hapa wameshaanza kuogopa wakati bado ile sheria ya vyombo vya habari wameishikilia.

Moto huu wa mabadiliko umeshawaka na kuuzuia ni kazi sana, na hao wanajinufaisha na rasilimali za nchi kwa kivuli cha SIRI za serikali hawatakuwa na pakujificha. Na ngoja watu wanyofoe ile list ya makampuni yaliyofaidika na STIMULUS PACKAGE halafu iwekwe hadharani ndio watu watachanganyikiwa zaidi (kwani ni ulaghai mtupu). Yaani hata CAG amezuiwa kuaudit? Mikataba hii ina SIRI gani mpaka na Bunge lizuiwe kujadili?
Juzi nimemuona Mkullo akilipiga danadana kwa mara nyingine tena bungeni
 
Sheria hii ni muhimu ije haraka(maana italinda haki ya usiri wa mtu binafsi"Right to privacy")
Hata hivyo sheria hiyo"Data Protection Act" haitakuwa na maana bila ya kuletwa sambamba
na sheria ya Haki ya kupata habari"Right to Access Information" ili kuihakikishia jamii Haki na Uhuru
wa raia katika Privacy & Information.
 
Hiyo right to privacy imekuwa guaranteed na Katiba tayari. Ukiona mtu ame infringe hiyo haki yako mpeleke mahakamani. Huitaji kusubiri hiyo"Data Protection Act"
 
dr.slaa kwani anaiba au analetewa?we dr.unajua tafsiri ya kuiba?nahisi ww umetumwa na magamba basi muende hadi facebook mkaifunge na twitter pia
hivi ww wa wapi? Mtu asieleze fikra kuhusu cdm na viongozi wake basi katumwa na ccm..................wanaoyasema ya ccm pamoja nawe umetumwa na cdm au mbowe?.........ruhusu akila yako ifikirie sawasawa na simama kwny ukwl!!

Mbona taarifa nzuri zikivuja hawalalamiki, lakini taarifa za ufisadi na uwizi wa mali za umma ndio mlalamike, hata itafutwe sheria kulinda siri za serikali tena uovu? Hii inaonesha watanzania wengi ni wezi na hawana uzalendo, inanipa hasira lakini ipo siku.
 
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.

1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa

My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania

EXAMPLE:Data Protection Act 1998

unasumbuliwa na ugonjwa wa Ufisadi/uwizi, Data protection act ya kazi gani? watu wanaanzisha kampuni hewa na kuchota hela BOT halafu tunyamaze kwa sababu kuna data protection act?

Safari hii hata walete nini? katiba ndiyo hiyo tunabadilisha na adhabu ya kunyongwa iko pale pale maana ndiyo siri ya maendeleo ya china.
 
Watu wamekuwa wakali na waoga wa kivuli chao. Ninachoamini hakuna mtu chini ya ardhi atakayezuia wimbi la mabadiliko. Hata sheria gani ije. La msingi ni kuamua moja kuacha upepo upite maana ukiuzuia bila hekima utasababisha madhara kama vile kimbunga na tufani bure.
 
...mnataka muibe bila watanzania kujua eeh...hovyoooo....wambie waliokutuma kuwa dk. Slaa haibi data ila anapelekewa na watumishi wa umma wadilifu wakiwemo mawaziri...kafie mbele huko na mafisadi wako akina magufuli...
 
Naomba watu tujadili mada maana
Hii ni act ambayo itasadia watu wengi huwezi jua na wewe unaweza kuwa mojawapo
 
...
1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali......

Dada Kupeng'e,
Ingekuwa Slaa ni mwizi, kama ulivyoonesha hapo juu, nadhania angekuwa mahakamani muda huu. Slaa anapelekewa document, haibi

Back
Top Bottom