Data collection opportunity Dar es salaam

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
1,500
We are searching data collectors for upcoming study in Dar es salaam. Key points to observe:
1). Data collection will happen in Dar es salaam at selected health facilities Temeke, Ilala and Kigamboni starting from october 2019
2). You will interview youth clients after getting services at health facilities
3). Interview will happen daily except weekend and public holiday (i.e 20-22 days per month)
4) Duration is one year from October 2019 to September 2020
5). Monthly allowance is 300,000/- inclusive of transport. No any other payment.
6). You should commit to work for one full year
7) You should be ethical, reliable, no forgery, be honest and hardworker
8). We want to recruit individuals with minimum of certificate level.

This is suitable for one with no job and those seeking volunteering work.

If interested send your cover letter and CV to damaxsolutions@yandex.com

Please dont send any certificate. Sent only CV and cover letter. You should have reliable reference to prove your reliability honest
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,585
2,000
Kama nilitaka kuwaelewa ila email inanitatiza, vinginevyo mseme nyie mmpepewa kazi na shirika flani.

Pia ungewasaidia waombaji kujua hasa hasa ujuzi gani unatakiwa bila kusahau lugha. Mfano, watatumia kiswahili au kizungu? Watatakiwa wajue kompyuta au wajue kutumia excel, word, n.k. Na je wawe wazuri kwenye hesabu?

Ni kweli inawafaa wsnaotaka kujitolea na wasio na kazi, tena wasiwe na majukumu.
Kwa sababu matumizi yako yakizidi 1000 tu kwa siku, imekula kwako.

Bora kungekua na ka posho ka nauli au japo chakula cha mchana
Kila la kheri waheshimiwa.
 
Nashukuru outputs zako. Nitarekebisha tangazo kuweka ujuzi na lugha.. Ni kweli ni consultancy firm.
Kama nilivtosema awali, tulitamani kuwalipa zaidi ila bahati mbaya ndo hivyo tena. Mtu akitumia 5,000 kwa siku nauli na chakula then siku 20 ni laki moja. Si haba unaweza kubakiza kidogo kwenye laki 3. Ila we wish we were able to pay more.
 
msakaa jr

JF-Expert Member
May 18, 2017
3,693
2,000
Nashukuru outputs zako. Nitarekebisha tangazo kuweka ujuzi na lugha.. Ni kweli ni consultancy firm.
Kama nilivtosema awali, tulitamani kuwalipa zaidi ila bahati mbaya ndo hivyo tena. Mtu akitumia 5,000 kwa siku nauli na chakula then siku 20 ni laki moja. Si haba unaweza kubakiza kidogo kwenye laki 3. Ila we wish we were able to pay more.
Mkuu deadline itakuwa lini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom