Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,769
- 7,484
Na Kingine kwamba dhumuni ya Data Center ni kwamba, katika kujua kwamba kampuni fulani inafanya Mauzo ya kiasi gani? Na inalipaje? Kodi itasaidia katika ukaguzi wa maesabu ya makampuni.Hapo ni kwamba data center ni kama bima ya mtandao, inamaana tra leo ndio wamejiunga na hiyo huduma ya data center. Kwamaana nyingine tra wakiwa wanafanya shughuli zao maofisini mwao wakisevu data otumaticaly zinajisevu kwenye system zao na inaweka copy kwenye data center ikitokea kama ofisi meunguwa makomputa yameunguwa meaning mafaili yote yamepotea pale ofisini kwao then ndio unakwenda datacenter kuwaambia ofisi imeunguwa ila tunataka mafaili yetu then ttcl wana kuaplodia all folder to your new system baada ya kuwa mshanunuwa makomputa mapya na mshatengeneza ofisi mpya. I hope i have explain the point here.
Yaani pale ndio AUDITING za makampuni zitakuwa zinafanywa, kwa kifupi makampuni mengi yatakimbia kwa sababu yanatoa taarifa za uongo sana,