shatisuruali
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 965
- 3,042
Tueleweshane ndugu zangu kuhusu hii kitu aliyozindua raisi leo. Ni kama nimesikia ni kwa ajili ya mfumo wa ukusanyaji kodi, na mitandao ya simu ikonect hapo. Nini exactly plan ya hii project??
Hii shule ni ngumu,sijakupata mkuu vp unaweza eleza zaid?Huu ni moja ya mradi mkubwa sana katika sekta ya teknolojia, habari na mawasiliano...
Hiyo data center inamilikiwa na TTCL, Ni sawa na wewe uwe na jengo la ghorofa alafu humo ndani unakaa wewe na wapangaji wako...
Data center ni sawa na jengo la Mlimani city kwa upande wa data. Mle ndani kuna wapangaji mbali mbali. So kwenye data center mfano kila kampuni ina data, mfano invoice za mauzo, taarifa za wateja n.k... Kwa hiyo badala ya kutengeneza sever yako kwa ajili ya kuhifadhia data base, unaweza kwenda pale TTCL wakakupangisha kwenye center yao...
Ndiyo... Chukulia kama wewe badala ya kuhifadhi mafaili yako kwenye computer yako, unakuja kwangu kuniomba nikuhifadhie documents zako kwenye computer yangu. Mimi nakubali ila nakwambia unilipe buku tano kila mwezi. So badala ya wewe kuwa na computer unakuwa unatumia ya kwangu tu, tunakuwa tunashea watu mbali mbali ila kila mtu anakuwa na folder lake na password ya kuli access.Hii shule ni ngumu,sijakupata mkuu vp unaweza eleza zaid?
Siku Ramsonware waki-encrypt hizo folders ndo akili zitakaa vizuri
Lakin Leo mbona ilikaa kama ni mfumo maalumu wa kukusanyia kodi ndo unaozinduliwa. Hawakuiongelea kama ni kitu kikubwa cha kujivunia kila MTU.Ndiyo... Chukulia kama wewe badala ya kuhifadhi mafaili yako kwenye computer yako, unakuja kwangu kuniomba nikuhifadhie documents zako kwenye computer yangu. Mimi nakubali ila nakwambia unilipe buku tano kila mwezi. So badala ya wewe kuwa na computer unakuwa unatumia ya kwangu tu, tunakuwa tunashea watu mbali mbali ila kila mtu anakuwa na folder lake na password ya kuli access.
Sabstute ye Max malipo kwa apo mbele..nilivyoelewa mimi.
MaxMalipo waangalie soko la nje zaidi kuliko TanzaniaSabstute ye Max malipo kwa apo mbele..nilivyoelewa mimi.
Serikali haiwezi kudukua data za wateja?Hapo ni kwamba data center ni kama bima ya mtandao, inamaana tra leo ndio wamejiunga na hiyo huduma ya data center. Kwamaana nyingine tra wakiwa wanafanya shughuli zao maofisini mwao wakisevu data otumaticaly zinajisevu kwenye system zao na inaweka copy kwenye data center ikitokea kama ofisi meunguwa makomputa yameunguwa meaning mafaili yote yamepotea pale ofisini kwao then ndio unakwenda datacenter kuwaambia ofisi imeunguwa ila tunataka mafaili yetu then ttcl wana kuaplodia all folder to your new system baada ya kuwa mshanunuwa makomputa mapya na mshatengeneza ofisi mpya. I hope i have explain the point here.
Shukrani,nimekupata vema..Ndiyo... Chukulia kama wewe badala ya kuhifadhi mafaili yako kwenye computer yako, unakuja kwangu kuniomba nikuhifadhie documents zako kwenye computer yangu. Mimi nakubali ila nakwambia unilipe buku tano kila mwezi. So badala ya wewe kuwa na computer unakuwa unatumia ya kwangu tu, tunakuwa tunashea watu mbali mbali ila kila mtu anakuwa na folder lake na password ya kuli access.
Ilitamkwa kabisa kuwa ni Ukusanyaji Kodi kwa Njia ya Elektroniki. Na rais akasema vijana waliobuni kadiri mfumo utakavyokusanya kodi ndivyo wataongezewa mshahara.Lakin Leo mbona ilikaa kama ni mfumo maalumu wa kukusanyia kodi ndo unaozinduliwa. Hawakuiongelea kama ni kitu kikubwa cha kujivunia kila MTU.
Hata mi nilielewa hivyo. Kwamba ni kibubu cha kutunzia nakala za nyaraka za kampuni kielektroniki. Ni sawa na mwenye PC nyumbani halafu ana external harddisk anaweka kumbukumbu just in case akiibiwa pc yake.Hapo ni kwamba data center ni kama bima ya mtandao, inamaana tra leo ndio wamejiunga na hiyo huduma ya data center. Kwamaana nyingine tra wakiwa wanafanya shughuli zao maofisini mwao wakisevu data otumaticaly zinajisevu kwenye system zao na inaweka copy kwenye data center ikitokea kama ofisi meunguwa makomputa yameunguwa meaning mafaili yote yamepotea pale ofisini kwao then ndio unakwenda datacenter kuwaambia ofisi imeunguwa ila tunataka mafaili yetu then ttcl wana kuaplodia all folder to your new system baada ya kuwa mshanunuwa makomputa mapya na mshatengeneza ofisi mpya. I hope i have explain the point here.
Umeona eeh!Ilitamkwa kabisa kuwa ni Ukusanyaji Kodi kwa Njia ya Elektroniki. Na rais akasema vijana waliobuni kadiri mfumo utakavyokusanya kodi ndivyo wataongezewa mshahara.
Kuna haja kufafanua Dara Centre na Kodi wapi na wapi?
Kabla atujaenda nchi za nje kwanza. Inabidi tujue kwamba Tanzania kwa ukubwa wake ni sawa na mjumuiko wa nchi za Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Square kilometers 67,000. Kwa iyo wajijenge ndani koteMaxMalipo waangalie soko la nje zaidi kuliko Tanzania
Mbona aliongelea zile data center ambazo zishajengwa mf. za BOT, TCRA na NIDA zitumike km Secondary...Je Data centre ndo mfumo wa kukusanya kodi? Au hiyo ya TTCL ni special?
Makampuni ya simu wakijiunga itasaidia vp serikali kukusanya kodi? Makampuni mengine je?
Nilielewa aliposema hakuna haja wizara zingine kujenga data centre zao. Ila pia angalizo. Huwezi serikali yote kutumia back up moja tu. Never on earth. Mambo mengine huyu mzee asiongelee bana. Anajiumbua kila siku.