Data analysis using spss inafundishwa ucc-mbezi beach. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Data analysis using spss inafundishwa ucc-mbezi beach.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by raia tz, Mar 6, 2012.

 1. raia tz

  raia tz Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu kuna course ya data analysis using spss na ms exel inafundishwa udsm details hizi hapa

  1.mahali- ucc mbezi beach branch mbele ya kituo cha goigi.
  2.muda wa lumaliza course-ni course ya wiki tano(5weeks).
  3.ratiba ya course-jumatatu hadi ijumaa saa 12:00jioni hadi saa 2:00 usiku
  4.ada ya course tsh 290000/=

  nb: Mimi nimejiandikisha kwenye hilo darasa na sasa inasubiriwa idadi ya wanafunzi iongezeke.ni course nzuri namba ya course coordinator ni 0712853939 ukimpigia atakufa maelekezo zaidi.ila yeye hajapost tangazo hili
   
Loading...