Dash body ya Beetel Connection Manager allow making Call?

Dash body ya Beetel Connection Manager allow making Call?

okwili

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
221
Reaction score
35
Habari zenu wana jamvi nilikuwa natafuta software ambayo naweza ku make call wakati nimeweka line yangu kwenye modem, katika kutafuta nimekuta na hii kitu Beetel connection Manager, Ila kila nikijaribu piga simu inaniletea dialing fail try again. mimi natumia modem ya HSUPA USB Stick, model MF 190. Msaada tafadhari.
 
hiyo modem yako ni Zte Mf 190 so ingia hapa uchukue dashboard mhafaka

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/400833-zte-modems-software-yenye-call-options-na-mms-hii-hapa.html
 
hiyo modem yako ni Zte Mf 190 so ingia hapa uchukue dashboard mhafaka

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/400833-zte-modems-software-yenye-call-options-na-mms-hii-hapa.html

Asante kiongozi, nime download hiyo software na nime instal ila nikijiaribu kupiga simu hinakataa na nikijaribu kupiga hiyo namba ambayo iko kwenye modem naambiwa namba iko busy, je kuna setting za ziada zinaitajika? Hiyo modem yangu ni zile za airtel, model MF 190, HSUPA USB Stick but kuna kitu kinaitwa USSB sijaelewa hapo?
 
Back
Top Bottom