Grand Master Dulla
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 411
- 152
wacha dharau dogo usidhanie hatujui maana fasaha ya daweshi ni 'mtakatifu' we wahabi nini?darwesh maana yake jumba tupu..kwenye dini huku wanamaanisha MTU aso elimu..kifasihi dishi limeyumba
A.k.a Maamuma kama yule jamaa yao!darwesh maana yake jumba tupu..kwenye dini huku wanamaanisha MTU aso elimu..kifasihi dishi limeyumba
hivi hapa umeongelea dini?, kuwa serious usiamshe hisia ili watu watapike harafu uanze kulalamatuchangie kwa upendo na upole kwa maana si jambo zuri kusimanga wala kutukana dini ya mwenzako,dhumuni ni kuhifadhi histori,kwenu wadau...
Acha ubishi inawezekana.Eti mkipanda ndege pamoja mnamkuta ameshafika ninyi bado. Aiseee Mkuu, katika ulimwengu wa roho kuna mipaka yake na kuna sehemu mambo hayaendi kirahisi hivyo.
Kifupi hamna uchawi huo.
Tuache tutamalaki!Uzi wa wahenga...
shikamoo alhaji .......Namfahamu vizuri huyo Darwesh kwa jina jengine Shekh rocket. Hana karama zozote ni maamuma wa mwisho. Safari zote as hijja anapata misaada kutoka kwa mashia. Nilikuwa nae hema moja Makkah 2015. Utashangaa matusi yanavyomtoka ktk kulingania. Dish lake limecheza.
Huu ni uchawi na mazingaumbwe, haiwezekani kabisa ktk ulimwengu wa kiroho acha ubishi wa kwenu!Acha ubishi inawezekana.
Mkuu namkumbuka mtoto wake aisee.Tulimkuta Korongoni primary.walikuwaga na farasi aisee.Yule mazaa tulikuwa tunamwogopa kwelikweli,alikuwa anavaaga kininja wakati woteKuna mmoja alivuma miaka ya 90 kama mganga alikuwa akitibu ukimwi. Aliishi moshi maeneo ya dsm street jina lake kamili lilikuwa:shaaban darweshi .. Sijui ndo mwenyewe??