Kati ya mwaume na mwanamke ni nani anaye ongoza kutokujali afya dhidi ya maambukizi ya magonjwa ya ngono

Bacore

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
222
228
habari za leo,

zingatia kichwa cha habari kama ilivyo ainishwa, ni matumaini yangu makubwa, kuwa maendeleo yoyote yale, hufanywa na wanadamu wote pasipo kujali ni njia gani, sahihi itakayo tumika kupata elimu ya afya na maendeleo kwa ujumla.

binafsi, wanawake wengi ndio wanao ongoza kuto kujali afya dhidi ya magonjwa, ya std's, kwa sababu zifuatazo.

1. wanaweke hawatumii kinga, japo kuwa zipo kinga za wanawake,mwanamke anakwenda kwa boyfriend akiamini yeye ndio atakuwa na kinga, na wakati kinga zipo zote za kike na kiume..

2. wanawake wengi wakipandwa na hamu, hufumba macho wakisubili kuingizwa hogo, iwe limevaa au halija vaa, iyo haisuu.

3. wanawake wanaweza kuhudumia wanaume zaidi ya 20 kwa maana hiyo, huyu mwanamke akiwa na maambukizi, anauwa wote hao 20 au zaidi kwa siku, lakini sio mwanaume,

4. wanawake walio wengi wanapo fikiria swala la kitega uchumi, basi wazo la kwanza wanawaza kujipatia fedha kwa njia ya kujiuza maana njia zingine ni ngumu kwao, kama kutembeza ndizi,kuuza miogo,kuuza mkaa, nk- hawawezi kazi hizi, njia ya haraka na uhakika kwao ni kuuza nyapu.

5. wanawake wengi huamini maisha yakuishi kimiujiza, anajua uwezo hana, lakini hutumia maumbo yake, na mvuto wake kuishi maisha ya kuigiza, atapangishiwa nyumba ya laki 4, mwanaume mwingine atanunuwa gesi,mwingine king'amuzi na mwinge bla bla bla.

6. wanawake walio wengi wana haraka na maisha, anatamani vitu vikubwa wasivyo weza kuvimiliki, mwanamke anaamini kila anacho ota ndoto,basi ingependeza zaidi kumiliki kama sio kupata kabisa,ata angeota kumiliki zile nyumba za lugumi kama mzee wa mia 900 ingependeza,, matokeo yake ule usemi wa mugabe unakuja kutimia "women without brain, private part will suffer a lot"

7. kwa ujumla nyinyi wanawake kwa asilimia kubwa, maisha yenu mnauhusisha sana mapenzi na ng'ono, hata uvaaji wenu upo king'ono zaidi mkijua fika, wanaume wakiona matiti wangetamanishwa,nguo za kuonyesha maumbile,kuvaa nusu uchi,vimini nk. yote hiyo ni kujitegesha tuu, ili kuendeleza kizazi kikengeufu na ng'ono+

8. wanawake wengi hujiuza nyakati za usiku, husimama barabarani au uchocholoni, wanawake mnatengeza mazingila ya wanaume kununuwa ng'ono tena kwa kusifia huduma hiyo na ushawishi mkubwa hata kama mtu alikuwa anajipitia njia hana hili wala lile!, basi hujikuta ananunuwa kwa kuwa udhaifu wa mwanaume ni mwanamke mtupu.

nafikiri ingependeza zaidi, kuorodhesha baadhi ya sababu chache za ninani chanzo cha matatizo yatokanayo na magonjwa ya kuambukiza na wimbi kubwa la machokolaa mtaani.

wanawake mnaruhusiwa kujitetea, asilimia kubwa zinawadondokea, na huo ukweri mnaujua ila hamtaki kubadiilika.

karibuni kuchangia maada.
 
Boss umewananga KE tu kana kwamba hilo tendo lafanywa na wao peke yao..



Jinsia zote mbili ndio chanzo na sio KE tu.
 
Ke wanaogopa mimba tu mkuu hawana habar na hepatitis b,STDs ,HIV ,na cancer ,hata kama ukivaa ndom utaskia anakwambia uvue ili gem linoge,wana hatari xana hawa watu
 
Wangekuwa hawapati wateja ambao ni wanaume basi wanawake hawa wangeshafunga kabisa biashara zao
 
Ulichokosea hapa mkuu ni kujumuisha wanawake wote akati wapo wanao jielewa kwan amna wanaume wanao jipatia pesa kwa kutoka na wamama walio wazdi miaka???
 
Ulichokosea hapa mkuu ni kujumuisha wanawake wote akati wapo wanao jielewa kwan amna wanaume wanao jipatia pesa kwa kutoka na wamama walio wazdi miaka???
ninukuu vizuri, ludi katika thread, nimesema walio wengi zaidi!
 
Ke wanaogopa mimba tu mkuu hawana habar na hepatitis b,STDs ,HIV ,na cancer ,hata kama ukivaa ndom utaskia anakwambia uvue ili gem linoge,wana hatari xana hawa watu
daaah hii ni kweli kabisa,wao wanaogopa mimba tu.hizi habari nyingine walaaaa
 
mimi wanawake nawashangaaga kwenye kuchukia condom tu...

chini kukiloa hata kama hujavaa condom anajiingiza tu dushe... na kuanza mauno
 
Sijasoma uzi nimesoma comment tu, nimegundua utakua umezungumzia vibamia, mkuu acha kutuandama kias hicho.
 
Shida uko imbalance nilivyo heading nikajua unajaribu kulinganisha kumbe unachofanya ni justification ya kuwa wanawake ndiyo chanzo cha uzinzi.! Sikweli jaribu kubalance mkuu
 
Shida uko imbalance nilivyo heading nikajua unajaribu kulinganisha kumbe unachofanya ni justification ya kuwa wanawake ndiyo chanzo cha uzinzi.! Sikweli jaribu kubalance mkuu
huwezi kulazimisha uhalisia, wimbi kubwa la madangulo uko mtaani,mitandaoni, nk, kwakuwa wanajua mwanaume ni dhaifu katika vitu flani basi hiyo ndio kama fulsa kwao! hakuna balance! wanawake mmezidi!
 
Back
Top Bottom