Daruso imeoza wanafunzi 46 bado wapo sero | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daruso imeoza wanafunzi 46 bado wapo sero

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Janja PORI, Nov 13, 2011.

 1. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  hi serikali ya Kilawa na wenzake ni majuha sana yani Mpaka leo hawajawatoa wenzao 46 akati hawana makosa na wameshkwa ndan ya chuo. wadau kilawa na wenzake wapigwe dwn
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Daruso iliisha enzi za JUJU MTATIRO
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  niliongea na spika anorld jana, akaniambia stil wanafanya negotiations. ila alivyokuwa anaongea ni kama anaunga mkono walichofanya polisi, ati alidai wana walibondwa walipotoka nje ya geti!
   
 4. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Sasa mnategemea nini kama mlichagua hao mazuzu kwa kuangalia ucollage(Cass) badala ya kuchagua mtu kulingana na uwezo wake.balaza lote limejaa mazuzu msitegemee jipya mliwachagua wenyewe.
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  beleve me, kilawa, angelista na spika waliwekwa kwa nguvu ya uvccm. kamanda wa uvccm wilaya ya kinondoni na mke wa steven wassira wanahusika katika hilo. unafki wao sasa unadhihirika kwenye suala hili. nimeambiwa kuwa daruso walitoa note ya kuzuia kunji, sasa sijui kama wabunge wanafahamu hili?
   
Loading...