Darubini za Kupimia(Maabara) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Darubini za Kupimia(Maabara)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by stephot, Apr 24, 2012.

 1. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,027
  Likes Received: 2,648
  Trophy Points: 280
  Zile Darubini za kwenye maabara aina ya JAICO BINOCULARS MICROSCOPE-Dual Power (zinatumia umeme na Solar kama umeme ukikatika-equiped) zimewasili kwa anehitaji anitafute ,Bei ni Mil.1 ila maelewano yapo,Wahi kwani ziko chache.
   
 2. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mkuu kwa kiswahili sanifu hizo microscopes zinaitwa "hadubini",na sio darubini...
   
 3. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,027
  Likes Received: 2,648
  Trophy Points: 280
  Sawa mzee nimekusoma,ila hata kama ningekuwa najua inaitwa HADUBINI nisingelitumia kwani naona huo msamiati wengi hawapendelei kuutumia hivyo ingeniletea mkanganyiko kwenye biashara yangu,Thanks Snochet.
   
 4. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,386
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  una microscopes tu
   
Loading...