Translator
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 286
- 297
hahaaaaaaaaaaaa,atakaepatia nampa hadubinKuna Telescope ndio ya anga kama jina Tele means distance kuna Microscope hii ndio ya kuchekia vimelea Vidogo kama lilivo jina lake Micro ni kidogo, Ila mimi nataka Kujua kiswahili cha Binoculars
Kuna Telescope ndio ya anga kama jina Tele means distance kuna Microscope hii ndio ya kuchekia vimelea Vidogo kama lilivo jina lake Micro ni kidogo, Ila mimi nataka Kujua kiswahili cha Binoculars
Microscope vs Telescope..
Vipi ile ya wanajeshi vitani??
poa mkuu...nilisahau kumbebinoculars
binocularMicroscope vs Telescope..
Vipi ile ya wanajeshi vitani??
kifaa chakuangalizia vitu vilivyombali kwakutumia macho mawili....Kuna Telescope ndio ya anga kama jina Tele means distance kuna Microscope hii ndio ya kuchekia vimelea Vidogo kama lilivo jina lake Micro ni kidogo, Ila mimi nataka Kujua kiswahili cha Binoculars
Microscope vs Telescope..
Vipi ile ya wanajeshi vitani??
hiyo ndio darubini...microscop ni hadbuniKuna Telescope ndio ya anga kama jina Tele means distance kuna Microscope hii ndio ya kuchekia vimelea Vidogo kama lilivo jina lake Micro ni kidogo, Ila mimi nataka Kujua kiswahili cha Binoculars
Binocular vipihiyo ndio darubini...microscop ni hadbuni
truebinocular
Loading......Tumezoea sana kutumia neno "darubini" kwa maana ya kifaa kinachotumika hospitalini kwa ajili ya kuchunguzia vijidudu.
Lakini ukweli ni kwamba, hiyo si "darubini" bali ni "hadubini". Tazama picha A.
"Darubini" ni kifaa cha kuchunguzia anga. Tazama picha B.
Hiyo ya kwenye avatar yako ni darumbili mkuu.ππLoading......
πHiyo ya kwenye avatar yako ni darumbili mkuu.ππ