Dark Monday

Ritakahama

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
758
Reaction score
411
Haya wapendwa weekend ndo imekwisha niko broke mbaya naona hii ni dark Monday kwangu mwenye kuweza kuniwezesha kama dalllas or $ 75 tu ani Pm.Mlale unono
 
Haya wapendwa weekend ndo imekwisha niko broke mbaya naona hii ni dark Monday kwangu mwenye kuweza kuniwezesha kama dalllas or $ 75 tu ani Pm.Mlale unono

Akishakupatia $ au TZS utampa nini.....lol!!!


Babu DC!!
 
Reactions: BAK
Nitamwombea mwaka utaisha na mibaraka kedekede.Kama hamna freelunch basi anikope
 
Hahahahaha lol! Babu DC ni aje? πŸ™‚ Scratch my back and I'll scratch yours eeh! πŸ™‚



Akishakupatia $ au TZS utampa nini.....lol!!!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Oyaoya kaa ukijua starehe gharama oyaaah kaa ukijua starehe gharamaaaa.................................... ukipenda pombe za bure ujue ni gharama, ukipenda madem wa bure ujue nao ni gharama oyaaaaa!
 
Hahahahaha lol! Babu DC ni aje? πŸ™‚ Scratch my back and I'll scratch yours eeh! πŸ™‚


Niko powa mkuu wangu,...ila na uzee huu nimekosa Tanesco yangu ya kufanya chuma ulete!!!

Maisha yamekaaje??


Babu DC!!!
 
Reactions: BAK
Babu Dark City kusikia uko powa, maisha yako bomba namshukuru sana Muumba wetu...hutaki kuwa chuma ulete eeh!? hili la chuma ulete lina matatizo makubwa sana ni lazima mtu uwe makini ili kuliepuka.

Siku na kazi njema πŸ™‚

Niko powa mkuu wangu,...ila na uzee huu nimekosa Tanesco yangu ya kufanya chuma ulete!!!

Maisha yamekaaje??


Babu DC!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…