Dark days 17/03/20


Anayetaka hii story anicheck nilicopy yote tangu mwanzo, nilijua mataahira wanyofoa.
 
Amani gani uliyonayo kwa mfumuko huu wa bei!!!???
 
Sound zimeanza kuwa nyingi
 
Mkuu, umepotoka kidogo kwa kusema Papa Paulo wa Sita aliuawa. Ukweli ni kwamba Papa Paulo wa Sita alimrithi Papa Yohani wa 23 tarehe 21 Juni 1963 na alikuja kufariki kifo cha kawaida tarehe 6 Agosti 1978 na kurithiwa na Papa Yohani Paulo wa Kwanza. Papa Yohani wa 23 ndiye alianzisha Mtaguso wa Pili tarehe 21 Juni 1963 na alipokufa, Mtaguso uliahirishwa mpaka alipochaguliwa Papa Paulo wa Sita, akauendeleza mpaka alipoufunga tarehe 8 Desemba 1965.
 
Juzi kati mtoto wa CEO wa kwanza katoa codes kwa wenzake vizazi vya ma CEO; wakiwa na akili watazi decode na kuzingatia ushauri wake, otherwise kweli the dark days!
 
Nilikuwa na wasiwasi kama umewekwa kabatini au lah!
 
Anayetaka hii story anicheck nilicopy yote tangu mwanzo, nilijua mataahira wanyofoa.
Mkuu hata Mimi nilicopy baada ya kuona page 2 wamezinyofoa, kea hiyo hizi 2 zilihusu Sana Utawala wa Sasa wa New CEO, kweli sinazo hata Yego kakiri kutoweka huko,
Sasa sijajua km na wewe uliziwahi sijui tufanye NI yote nikuombe au tufuke mwisho kwanza hiyo jumatano nitaku PM
 
Amani gani uliyonayo kwa mfumuko huu wa bei!!!???
Basi hujafuatilia hii riwaya, km hakuna amani baada ya Mwendazake JF haikua hivi, Facebook, Twitter au chungulia Ukraine, DRC, Afghanistan, Msumbiji.
Kuhusu Bei NI kweli kichefuchefu, lkn km soda Bei juu kunywa maji, km petrol tufuta baiskeli, lkn sio kuchinjana na viroba kukutwa Ruvu juu
 
Fortunatus Buyobe amekupa kibali cha kuandika hii story hapa ?
Kuna watu tunalipia hizi story ujue.
 
Fortunatus Buyobe amekupa kibali cha kuandika hii story hapa ?
Kuna watu tunalipia hizi story ujue.
Mkaka eeee
Mwambie yeye na wanao mtumia kuwa akazane kukopy na kuwauzia na jumatano saa sita tunamaliza kabisa tena this time itakuwa very hot maana........ so aje akopy awawekee msome
ila hapa ni bureeee!


Poleni!!


Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa mjanja nilicopy zote, nilijua zingenyofolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…