Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,748
- 4,464
Au kumfunga kama walivyomfanyia Charles TaylorKwenye Ujasusi Kuna kitu kinaitwa Mission Complete.
Ikifikia hatua hiyo when Mission is Complete basi jua au tambua huyo Muhusika aliyefanya hiyo Mission lazima wamuue ili kuficha ushahidi
Hiyo sijui. Kam umeiba nywila ya mtu sehemu ukakuta hayo nikupe hongera zako. Kwa kweli mimi sijuiIna maana kama mfiwa wa sasa alitumika kwenye elimination process ya awamu ya tano!!yeye na genge lake lote waliohusika wata be eliminated!!?
Aiseh,ongeza nyama!
Unapotosha makusudi. Umefanikwa.Kwamba limetoka agizo 7/7 watu wanakula SMG au AK47 au siyo?
Hiki kiburi kinaenda kuwafikisha kwenye anguko lao
Siyo Mimi mkuu. Nimefungua code tu.Unapotosha makusudi. Umefanikwa.
Wazo zuri sana, waziri wa uchukuzi alifanyie kaziKwa sasa yaruhusini mabasi yanayoenda Arusha na Kilimanjaro, yaondokee some where kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, pale Kawe, yaingie new Bagamoyo road, mpaka Mapinga, mpaka Msata, mpaka mikoa ya Kaskazini.
Baadae wajenge stendi ya pili (medium size regional bus stand) ya bei rahisi, ya mabasi haya, hapo hapo Tanganyika Packers.
Dar es Salaam ni jiji kubwa sana sasa. Linahitaji three regional bus stands. Magufuli bus stand plus hiyo Kawe Tanganyika Packers bus stand plus regional bus stand ya mabasi ya kwenda Lindi na Mtwara.
MkuuThe state waliamua toka gaberon room no 26...na ilikuwa Ni lazima iwe hivyo..sababu kubwa iluyopelekea maamuz hayo Ni kwamba badala ya ""kujenga taifa yeye alikazana kujenga nchi...""
jamaa sijui alipotelea wapi huyoMkuu
Huyu wa sasa anajenga taifa au nchi!!?
Kama Bado hawajakunyamazisha,tunaomba mrejesho coz last seen yako ni 2024!!
Upepo huu wa kisuli suli waweza mpeperusha yeoyotejamaa sijui alipotelea wapi huyo
kwakweli asieeUpepo huu wa kisuli suli waweza mpeperusha yeoyote
Sasa hivi taifa linajengwa sio?The state waliamua toka gaberon room no 26...na ilikuwa Ni lazima iwe hivyo..sababu kubwa iluyopelekea maamuz hayo Ni kwamba badala ya ""kujenga taifa yeye alikazana kujenga nchi...""
Atakubukwa kwa kulifanyia nini hili taifa?Jamaa wa Alizeti naye wanamfyeka muda sio mrefu.