The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,179
- 14,059
Muda wa rais kukaa madarakani uwe term 3, na kila term iwe na miaka mitano, so maximum time iwe ni miaka 15.
Na sio term 2 kama sasa.
Hii itaepusha watu kuanza kujiandaa kumrithi rais mapema sana.
Pia watu watakuwa serious kuchagua marais wazuri, kwa sababu marais wanaweza kukaa madarakani kwa miaka 15.
Inatakiwa mbunge mmoja atoe hii hoja bungeni.
Kwa nini isiwe term 2 kila term miaka 7?Muda wa rais kukaa madarakani uwe term 3, na kila term iwe na miaka mitano, so maximum time iwe ni miaka 15.
Na sio term 2 kama sasa.
Hii itaepusha watu kuanza kujiandaa kumrithi rais mapema sana.
Pia watu watakuwa serious kuchagua marais wazuri, kwa sababu marais wanaweza kukaa madarakani kwa miaka 15.
Inatakiwa mbunge mmoja atoe hii hoja bungeni.
CrapMuda wa rais kukaa madarakani uwe term 3, na kila term iwe na miaka mitano, so maximum time iwe ni miaka 15.
Na sio term 2 kama sasa.
Hii itaepusha watu kuanza kujiandaa kumrithi rais mapema sana.
Pia watu watakuwa serious kuchagua marais wazuri, kwa sababu marais wanaweza kukaa madarakani kwa miaka 15.
Inatakiwa mbunge mmoja atoe hii hoja bungeni.
Nini teeena hiki?1. "GSM* au "74KA"
AmemaanishaNini teeena hiki?
🤔duuuh!Amemaanisha
1. GSM = SMG
2. 74KA = 47AK
Hapa aweza kuwa anamaanisha, Kuna mtu anawindwa kwa na atauliwa kwa kutumia mojawapo ya silaha tajwa hapo juu.
Kwamba limetoka agizo 7/7 watu wanakula SMG au AK47 au siyo?1. "GSM* au "74KA"
Au ndo aliyekoswa huko ziwani?Amemaanisha
1. GSM = SMG
2. 74KA = 47AK
Hapa aweza kuwa anamaanisha, Kuna mtu anawindwa kwa na atauliwa kwa kutumia mojawapo ya silaha tajwa hapo juu.
Nani kakoswa teeena?Au ndo aliyekoswa huko ziwani?
Kuna aliyetekwa hajapatikanaNani kakoswa teeena?
Umejibu au umeuliza na wewe?Kuna aliyetekwa hajapatikana
Leo ndio itajulikana kama wewe ni mmojawapo wa wapiga ramli chonganishi au la!03072026....
Mark n save the date...
Umemfungia Busta nzito sana, mlegezee kidogo.Leo ndio itajulikana kama wewe ni mmojawapo wa wapiga ramli chonganishi au la!