Dark days 17/03/20

Hapa timu against CEO na born town nao waanze kufanya elimination.

Waanze na huyo anaetajwa ale chuma.

Kisha sasa mapambano yawe active. Bila mkono wa chuma watanzania watadhulumiwa sana.
 
Hapo jipya labda ni an army inside an army. Hayo mengine yapo bayana hata kwa layman kama mm. Anyway hongera kwa vitisho vimetufikia.
 
Kama hata chikibob mtoto naye anawaziwa kuwa CEO nchi hii ni miliki ya mtu wala sio watu

Wazee wana laana sio vizuri kudharau wasemacho, Mzee Nyerere alionya kumpa kiti chekibob raiti kama angesikilizwa "huenda" haya yote yasingetukuta

Wazee wanaona mbali tuache kuwa tunawapuuza

Hii army within an army imekaa vizuri sana, ngoja siku moja watifuane kwanza ndo akili zitawakaa sawa waelewe kuwa waliosema madume mawili hayaishi zizi moja hawakuwa wajinga
 
Huyo mzee wako Nyerere ndio kiatu kuliko wote.
 
Mbinchii na bichwa lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…