Yoga, nina hasira na wewe hadi basi. Kuna watu nilikuwa ninawasimulia hadithi yako ya THE DARK DAYS, nikapata umaarufu. Wananisumbua sana kutaka mwendelezo.Msamehe Bure!! Kuna suprise
Nilijua utatokea,Msamehe Bure!! Kuna suprise
Sawa mkuuPunguzeni ujuaji
Hii story hapa JF naona post ya kwanza ililetwa March 2022 wakati stori hii hii ipo telegram group ya Buyobe Since 2021 kati ya June na september Sasa hapa nani mwizi?
Jamaa Twitter KAZI Ake ni matusi TU sikuizi Hana Story🤣🤣🤣🤣🤣Msamehe Bure!! Kuna suprise
Yoga, nina hasira na wewe hadi basi. Kuna watu nilikuwa ninawasimulia hadithi yako ya THE DARK DAYS, nikapata umaarufu. Wananisumbua sana kutaka mwendelezo.
Nimebaki kupiga kalenda 🫣🫣
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Miss Yoga si utie hata neno kidogo kwa haya yanayoendelea kuhusu bandari.nisamehe kipenzi
ndo wale walePunguzeni ujuaji
Hii story hapa JF naona post ya kwanza ililetwa March 2022 wakati stori hii hii ipo telegram group ya Buyobe Since 2021 kati ya June na september Sasa hapa nani mwizi?
ALIKUA anajaribu kunijibu comment fulani niliyomuuliza!!Huwa narudia sana comment hii SAMURAI!!
Msamehe Bure!! Kuna suprise
2024/2025 Kuna mambo!!Ni muota ndoto...
Anayemtumaini YESU na ndio aliyempa ndoto....
Nikaota watu wengine wakiwafukuza hao waliokuwa wanaiongoza eneo hilo kwa muda mrefu wakawa wanakimbia, nikaona watu wakiwaficha hao waliokuwa wakiongoza ktk mapango na sehemu za kulala wageni...
Nilipoamka nikajiuliza ni wakinanani hao wanaofukuza watu walioongoza kwa muda mrefu?
Na ni kina nani wanaowaficha hao walioongoza kwa muda mrefu?
Bado namuomba Yesu anifunulie zaidi
Mungu atusaidie2024/2025 Kuna mambo!!
Jiwe na Mzee wa Msoga .faster raia wamefungua codes noma sana
Mbona huko mbali sana! Si watakuwa wamekomba kila kitu?2024/2025 Kuna mambo!!
Kipindi kilishaanza 2023 huko kwingine ni mwendelezo,2024/2025 Kuna mambo!!
naomba link huko mkuuBora turudi kwa Jasusi KGB. Kule ni bandika bandua
naomba link huko mkuu
May 2024 Si mbali.Mbona huko mbali sana! Si watakuwa wamekomba kila kitu?
Hamtaki ziwe exposed so lazima mine kupinga.Tatizo humu JF mnapenda sana hizi story.
Na huwa mnaziamini.
Ila kaa ujue hakuna inside informations zinatolewaga kizembe (hivi tena zinazohusu life za watu wakubwa kabisa).
Eti mtu atiririke kama gazeti hivi, tena kweupe hivi. Hakuna kitu kama hicho.
Hizi informations huwa zinafichwa kwa gharama yoyote ile.
Zikitolewa huwa zinatoka kwa uchache tuu.
Sio mtu anasimulia ya upande A, upande B na upande C yote yaliyofanyika anayajua. Hiyo collection ya hizo taarifa aliiwezaje wakati kila upande unajilinda taarifa zisivuje? Kama sio Utunzi .
Ujinga!Yaani mtu anasimulia pande zote kama yy ndio director