Dark days 17/03/20

Kwa akili zangu za kuvukia lami nadhani hii prikosheni sio ya kuipuuza!
 
Hii imeniumiza Sana aiseee.so jamaaa alitubu na kujitakasa ndo akasepa
 
Mzee nyboma hii code ya unknown inanishida lainisha kidgo mkuu
 
SijakuGoogle wewe nimewarahisishia watu waliodata na avatar yako wakijua ni wewe ili wasihangaike kukuchungulia kwenye ID. Na unabahati umewafungia pm saizi wangekua wamejazana huko si unaona wanavyokuita mpenzi😅😅

Mwanzo Yoga pm yake ilikuwa wazi, walipoanza kuksumbua kwa mengine wale wasiopenda hii hadithi yake ndipo alaifunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…