dariri

Mr-Africa

Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
23
Reaction score
3
mkono ukikuwasha n dariri ya kupata pesa,na kalio likikuwasha n dariri ya nin
 
Unawashwa kalio,hiyo ni dalili kuwa utakunwa muda si mrefu
 
"Dariri" ndio dalili ya mvua ni mawingu, au?
 
mmmh....minyoo hiyo si bure!
 
kwa huwa siyo kweli kuwa mkono ukiwasha ni dalili ya kupata pesa, then kuwashwa kwa kalio haku-imply chochote kile
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…