ggenerale
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 203
- 413
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenikumbusha TigoTanzania room,Wahengaa[emoji16][emoji16]
Mimi nimepiga sana mig33 kitambo hiyo.
Na wazee wa kununua kick packs, unamkumbuka cycocony? Yule mshenzi aliyekuwa na id zaid ya 50 kwa ajili ya kutoa watu kwenye rooms?