Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,910
- 2,714
Amina. Wahenga tupo aisee. Tulikuwaga tunapata experience worldsex.com piaHahahahaha kumbe wahenga wengi bado mpoo hai ... bwana asifiwe
Amina. Wahenga tupo aisee. Tulikuwaga tunapata experience worldsex.com piaHahahahaha kumbe wahenga wengi bado mpoo hai ... bwana asifiwe
Mimi nimeutumia 2010Darhotwire mtandao uliopendwa sana na watanzania mwanzoni wa miaaka ya 2000
Nilikuwa chuo kipindi hicho nikiwa bado mshamba ndio nimekuja Dar kuanza chuo nilikuwa nawaona tu mademu wakishinda humo Dar Hotwire et al mi zangu ilikuwa Yahoo tu
Hivi ile iringa net haikuwepo kipindi Cha darhotwire? Nimekuja iringa 2011 nkaikuta inabamba Sana!![emoji16][emoji16]
Darhotwire na yule Askari wa samora Avenue.
Blogu ya pekee nilikuwa nasoma kwa kiswahili ilikuwa Issa michuzi
E mail address ilikuwa ni yahoo tu
Kuchat yahoo messenger
Kupiga simu nje unaenda cafe
Worldsex ilikuwa bonge la mtandao
Wengine tulikuwa tuna hack time watcher na jicho lake baya lile
Nakumbuka iringa kulikuwa na cybercafe pale bottoms up casino
Na nikiwa dar ni akiba then unamaliza siku na ice cream za Azam pale.
da kumbe ndio wewe 😀I'd yangu ilikuwa AK 47
ova
Mwaka 2000 hata wewe nina uhakika ulikuwa huijui hiyo hotwire...Kiwira sio nyuma sana ni kijiji kilichoendelea kabisa pale Rungwe...binafsi kompyuta nimejua kutumia juzijuzi tu 2003.Utakua ulitokea kijijini KABISA! Au ile mikoa iliyokua nyuma sanaaa! Yani darhotwire umeenda kuijulia daslam? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante!! aisee miaka hyo nakomaa na game la nyoka kwenye Nokia toch habar za Darhotwire.com sizijui[emoji3]Hahahahah umeshaachwa enzi early 2000s ulikuwa kinder karibu
Nini hiyo binamu
Mie nilikuwa natumia jina ili ili na kipindi nilijiita kwa ufupi FD. Niliwahi kung'oa mtoto mmoja wa Mikocheni baadae akaenda Sweden ameolewa na mtasha huko
Mkuu mie email yangu ya Kwanza nimefungua 2001 ila compyuta haikua inshu kwangu shule nlosomea ilikua eneo la watu wenye uwezo so watoto kadhaa kwao walikua nazoMwaka 2000 hata wewe nina uhakika ulikuwa huijui hiyo hotwire...Kiwira sio nyuma sana ni kijiji kilichoendelea kabisa pale Rungwe...binafsi kompyuta nimejua kutumia juzijuzi tu 2003.
Darchat /Marafiki.com tulikuwa tunakimbiza sana enzi hizo.