GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,069
- 1,655
Miezi kadhaa imepita tangu msanii darassa aachie hit song ya muziki ft ben pol,tofauti na tulivyozoea ngoma mfululizo naona darassa katulia sijui ndio muziki bado ina hit au kaishiwa.
Gotta calculationsMiezi kadhaa imepita tangu msanii darassa aachie hit song ya muziki ft ben pol,tofauti na tulivyozoea ngoma mfululizo naona darassa katulia sijui ndio muziki bado ina hit au kaishiwa.
Unaambiwa kunya anye kuku,akinya bata kaharisha.Mbona ali kiba anakaribia miez 7au 8 hajatoa wimbo na si sikii habari ya kuwa kaishiwa?
Na Darassa atakuwa anafanya hivo ili kuacha wimbo usikike sanaa, then ana bandika kitu ingine so ni sawa tu.