Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,493 Reaction score 7,417 May 4, 2017 #21 Ngoja kidogo
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,803 May 4, 2017 #22 nusuhela said: Dunia iweke tuzo za wachukiaji, bongo kuna watu wana vipaji Click to expand... Chuki iko wapi sasa niugagilie wimbo siupendi?haya kajitahidi.
nusuhela said: Dunia iweke tuzo za wachukiaji, bongo kuna watu wana vipaji Click to expand... Chuki iko wapi sasa niugagilie wimbo siupendi?haya kajitahidi.
The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,125 Reaction score 13,743 May 4, 2017 #23 chakii said: Wakuu naomba kufaham jina la msanii aliyeimba wimbo wa "nitauza penzi langu " Nilifikiri ameimba Christian Bella lakini sioni kama ni yeye ameimba, japo sauti zinalandana au huenda hiyo siyo tittle sahihi ya wimbo. Msaada plz, REGARDS Click to expand... Weusi wamemshirikisha Bella wimbo unaitwa natamani nijue.
chakii said: Wakuu naomba kufaham jina la msanii aliyeimba wimbo wa "nitauza penzi langu " Nilifikiri ameimba Christian Bella lakini sioni kama ni yeye ameimba, japo sauti zinalandana au huenda hiyo siyo tittle sahihi ya wimbo. Msaada plz, REGARDS Click to expand... Weusi wamemshirikisha Bella wimbo unaitwa natamani nijue.
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,950 May 5, 2017 #24 Ferrenga said: chorus kaimba kama undergeound wa simiyu bhana Click to expand...
South JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,513 Reaction score 5,144 May 5, 2017 #25 Engineer Hassan said: Huyo darasa bure kabisa Click to expand... Binadamu angekua nature maneno yangeshutigi kama risasi
Engineer Hassan said: Huyo darasa bure kabisa Click to expand... Binadamu angekua nature maneno yangeshutigi kama risasi
juxhb Member Joined Jun 27, 2016 Posts 66 Reaction score 46 May 5, 2017 #26 Engineer Hassan said: Huyo darasa bure kabisa Click to expand...
Robot la Matope JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 8,584 Reaction score 17,528 May 6, 2017 #27 Hii mbona inafanana kabisaaa na ngoma yake ya utanitoa roho?
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,902 Reaction score 15,931 May 6, 2017 #28 South said: Binadamu angekua nature maneno yangeshutigi kama risasi Click to expand... Hapo kwenye nature sio danger?
South said: Binadamu angekua nature maneno yangeshutigi kama risasi Click to expand... Hapo kwenye nature sio danger?
South JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,513 Reaction score 5,144 May 6, 2017 #29 screpa said: Hapo kwenye nature sio danger? Click to expand... Nasikia nature
South JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,513 Reaction score 5,144 May 6, 2017 #30 Robot la Matope said: Hii mbona inafanana kabisaaa na ngoma yake ya utanitoa roho? Click to expand... Nadhani ile hakuitoa ilivuja na kaamua kuibadili kiaina
Robot la Matope said: Hii mbona inafanana kabisaaa na ngoma yake ya utanitoa roho? Click to expand... Nadhani ile hakuitoa ilivuja na kaamua kuibadili kiaina
Executor JF-Expert Member Joined Sep 29, 2014 Posts 872 Reaction score 997 May 8, 2017 #31 Wimbo mbovu