Debwadebwa JF-Expert Member Joined Sep 29, 2014 Posts 204 Reaction score 280 May 4, 2017 #1 Mkwaju Mpya kutoka kwa Mkali Wa Muziki Au Nation Anthem. Attachments Darassa - HASARA ROHO.mp3 Darassa - HASARA ROHO.mp3 3.1 MB · Views: 245
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,622 May 4, 2017 #2 Kawaida kawaida.
Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 May 4, 2017 #3 Kwenye koras angemweka mwanadada ingenoga zaidi
Activity Ratio JF-Expert Member Joined Jun 9, 2016 Posts 554 Reaction score 577 May 4, 2017 #4 Kawaida sana.. Me nikajua itakuwa kali zaidi
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 May 4, 2017 #5 Ngoja kwanza niupe siku tatu kabla ya kuujudge sasa hivi.....
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,803 May 4, 2017 #6 Muziki imemuharibia sana, naona kama flow yake ni monotonous sana!
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,064 Reaction score 18,367 May 4, 2017 #7 Mimi nasubiri video labda itanifanya niupende zaidi! Sijapenda chorus angemweka mtu mwingine aimbe,ila kwa verse nyingine iko poa
Mimi nasubiri video labda itanifanya niupende zaidi! Sijapenda chorus angemweka mtu mwingine aimbe,ila kwa verse nyingine iko poa
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,358 Reaction score 5,843 May 4, 2017 #8 Metaphor's.... Wabongo hamjui hiphop ....ngoma Kali sana...
Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,318 Reaction score 7,655 May 4, 2017 #9 vitu vingine vikienda havirudigi "rivazi" kama samaki kamstari katamu sana haka meseji kwa mkulu
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,657 Reaction score 19,272 May 4, 2017 #10 kumbe yupo
dlnobby JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 2,514 Reaction score 3,349 May 4, 2017 #11 Nilijua tuu atatembelea ugoko ngoma ya pili...hii na mziki hamna utofauti zaid zaid kaharibu
Eck fulani JF-Expert Member Joined Oct 14, 2014 Posts 458 Reaction score 600 May 4, 2017 #13 mkamangaboy said: Mkwaju Mpya kutoka kwa Mkali Wa Muziki Au Nation Anthem. Click to expand... Haraka na harakati zako za pimbi unataka kucheza wewe na ushike filimbi.
mkamangaboy said: Mkwaju Mpya kutoka kwa Mkali Wa Muziki Au Nation Anthem. Click to expand... Haraka na harakati zako za pimbi unataka kucheza wewe na ushike filimbi.
koban JF-Expert Member Joined Oct 29, 2015 Posts 248 Reaction score 98 May 4, 2017 #14 Mbona kawaida sana chorus angemueka hata j dee au madee
Engineer Hassan JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 477 Reaction score 504 May 4, 2017 #15 mkamangaboy said: Mkwaju Mpya kutoka kwa Mkali Wa Muziki Au Nation Anthem. Click to expand... Huyo darasa bure kabisa
mkamangaboy said: Mkwaju Mpya kutoka kwa Mkali Wa Muziki Au Nation Anthem. Click to expand... Huyo darasa bure kabisa
slimdaddy JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 531 Reaction score 481 May 4, 2017 #16 ipo kawaida
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,297 Reaction score 22,196 May 4, 2017 #17 koban said: Mbona kawaida sana chorus angemueka hata j dee au madee Click to expand... Si uimbe yako umuweke Jay Dee
koban said: Mbona kawaida sana chorus angemueka hata j dee au madee Click to expand... Si uimbe yako umuweke Jay Dee
Ferrenga JF-Expert Member Joined Dec 27, 2016 Posts 942 Reaction score 1,659 May 4, 2017 #18 chorus kaimba kama undergeound wa simiyu bhana
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,785 May 4, 2017 #19 Wakuu naomba kufaham jina la msanii aliyeimba wimbo wa "nitauza penzi langu " Nilifikiri ameimba Christian Bella lakini sioni kama ni yeye ameimba, japo sauti zinalandana au huenda hiyo siyo tittle sahihi ya wimbo. Msaada plz, REGARDS
Wakuu naomba kufaham jina la msanii aliyeimba wimbo wa "nitauza penzi langu " Nilifikiri ameimba Christian Bella lakini sioni kama ni yeye ameimba, japo sauti zinalandana au huenda hiyo siyo tittle sahihi ya wimbo. Msaada plz, REGARDS
nusuhela JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 6,270 Reaction score 7,768 May 4, 2017 #20 barafuyamoto said: Muziki imemuharibia sana, naona kama flow yake ni monotonous sana! Click to expand... Dunia iweke tuzo za wachukiaji, bongo kuna watu wana vipaji Ferrenga said: chorus kaimba kama undergeound wa simiyu bhana Click to expand... Engineer Hassan said: Huyo darasa bure kabisa Click to expand... dlnobby said: Nilijua tuu atatembelea ugoko ngoma ya pili...hii na mziki hamna utofauti zaid zaid kaharibu Click to expand...
barafuyamoto said: Muziki imemuharibia sana, naona kama flow yake ni monotonous sana! Click to expand... Dunia iweke tuzo za wachukiaji, bongo kuna watu wana vipaji Ferrenga said: chorus kaimba kama undergeound wa simiyu bhana Click to expand... Engineer Hassan said: Huyo darasa bure kabisa Click to expand... dlnobby said: Nilijua tuu atatembelea ugoko ngoma ya pili...hii na mziki hamna utofauti zaid zaid kaharibu Click to expand...