Mkwaruzo JF-Expert Member Joined Feb 21, 2011 Posts 563 Reaction score 98 Dec 28, 2011 #1 Mwalimu: Maandazi sita ukitoa mawili hubaki mangapi? Mwanafunzi: Ukinipa na mchuzi hakibaki kitu.
S saleh sule Member Joined Dec 25, 2011 Posts 47 Reaction score 8 Dec 28, 2011 #2 kweli huyo ndo student
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Dec 28, 2011 #3 yale yaleee! MWALIMU:Kiazi kimoja ukikata kati unapata nini? MWANAFUNZI: Nusu mbili MWALIMU:Ukikata tena? MWANAFUNZI: Unapata robo MWALIMU: Ukikatakata tena? MWANAFUNZI:Unapata chipsi!
yale yaleee! MWALIMU:Kiazi kimoja ukikata kati unapata nini? MWANAFUNZI: Nusu mbili MWALIMU:Ukikata tena? MWANAFUNZI: Unapata robo MWALIMU: Ukikatakata tena? MWANAFUNZI:Unapata chipsi!
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Dec 28, 2011 #4 Yaleyaleeeeeeeee... Mwalimu:Kati ya jua na mwezi kipi muhimu? Mwanafunzi:Mwezi mwalim! Mwalim:Kwa nini? Mwanafunzi:Mwezi unamulika usiku kwenye giza,na wakati jua linamulika mchana wakati kuna mwanga tayari!
Yaleyaleeeeeeeee... Mwalimu:Kati ya jua na mwezi kipi muhimu? Mwanafunzi:Mwezi mwalim! Mwalim:Kwa nini? Mwanafunzi:Mwezi unamulika usiku kwenye giza,na wakati jua linamulika mchana wakati kuna mwanga tayari!
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Dec 28, 2011 #5 Hiyo ya jua ipo juu.
nsangaman JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 275 Reaction score 42 Dec 28, 2011 #6 Duh pupils ni noma.