Ulevi ni mbaya hasa ukisababisha kushindwa kutimiza wajibu wako.
Darasa anaonekana kabisa ni mnywanji lakini sikudhani kama anaweza kunywa kufikia kushindwa kutimiza wajibu wake.
Nashukuru kwa kumwambia ukweli na huo ndio ushabiki wa kweli ikiwezekana ajitazame na kubadilika.
Najua Darasa anapendwa sana na wengine wanaweza wasikuamini kwakuwa wanampenda sana hata kama uliyo yasema ni ukweli lakini najua umetimiza wajibu wako.
Pengine wimbo wake umekuwa mkubwa sana hadi ameshindwa kuhimili kishindo cha wimbo wake.
Hapa ndio utajua umuhimu wa management....
Darasa kama kweli unakunywa hadi unashindwa kutimiza wajibun wako basi acha ulofa na ubadilike..huu ni wakati wako hakuna nafasi nyingine.
Anakunywa na kuvuta mineli hatari. Kuna show flani hapa morogoro club inaitwa downtown alifanya hovyo sana kwasababu ya hayo makitu
Hata baba la baba hayuko poa!!
baba la baba ndio yupi tena huyo?Hata baba la baba hayuko poa!!
sijui kama NI Mimi peke yangu simwelewi na video zake anatupia!!
insta daddy!baba la baba ndio yupi tena huyo?
Ulikua sahihiUnashangaa kunywa wakati Darasa ni mteja kitambo tu
sijui mimi ndio mshamba au ni vipi...bado sijamjua huyo insta daddy!insta daddy!
.Sahivi akikosolewa mnaona kama anaonewa gere, siku akifulia ndio wa kwanza kuwacheka, mtaanza kusema 'alizidi ulevi', 'tulimwambia aache kutumia ngada', kama mnavyowacheka sahv wakina 20% na Mr. Nice
Dee bana weee!sijui mimi ndio mshamba au ni vipi...bado sijamjua huyo insta daddy!
angalia video za Dee of recent !
Una uhakika ujumbe wa huyu jamaa umemfikia mhusika?Ulevi ni mbaya hasa ukisababisha kushindwa kutimiza wajibu wako.
Darasa anaonekana kabisa ni mnywanji lakini sikudhani kama anaweza kunywa kufikia kushindwa kutimiza wajibu wake.
Nashukuru kwa kumwambia ukweli na huo ndio ushabiki wa kweli ikiwezekana ajitazame na kubadilika.
Najua Darasa anapendwa sana na wengine wanaweza wasikuamini kwakuwa wanampenda sana hata kama uliyo yasema ni ukweli lakini najua umetimiza wajibu wako.
Pengine wimbo wake umekuwa mkubwa sana hadi ameshindwa kuhimili kishindo cha wimbo wake.
Hapa ndio utajua umuhimu wa management....
Darasa kama kweli unakunywa hadi unashindwa kutimiza wajibun wako basi acha ulofa na ubadilike..huu ni wakati wako hakuna nafasi nyingine.
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji52][emoji52][emoji52][emoji20]Dee bana weee!
Hebu niandikie username kwa usahihi maana hyo sijaona kituangalia video za Dee of recent !
watu wanajua ni stress za Z, naskia kashakuwa nyoka!
Nilijibishiagaaaa![emoji30][emoji30][emoji30][emoji52][emoji52][emoji52][emoji20]
mashikolo mageni